Namuacha shemeji yenu!

Namuacha shemeji yenu!

Yaani mimi kuwa na mwanaume ambaye hana pesa naona mzigo kwangu na kwa familia yangu. Mwanaume wangu hana kazi yupo idle tu, mimi nina kibarua changu. Jana nimempigia simu (maana siku hizi anani-text tu mimi ndio huwa nampigia) nikimuuliza kwanini unanitext tu, anasema hana hela ya vocha text kaunga za mwezi, hata pesa ya kula hana na yupo kwa shemeji yake anaumwa yeye ndio anamhudumia, dada yake amesafiri.

Nikamuuliza, unaishije hapo kwa shemeji yako ata mia huna na wewe ni mtu mzima inabidi siku moja moja unachangia? Ananiambia sasa nitachangia nini wakati hela sina na kazi sijapata?

Aisee tangu nianze mahusiano yangu huyu mwanaume ndio hana pesa, wanaume wangu wawili wa nyuma walikuwa na mkwanja ukikohoa kidogo tu M-Pesa yako inasoma muda huo huo, ila huyu nawaza kumuacha kila siku, sioni anachonisaidia.

Amewahi kuninunulia kuku nusu tu wakati mapenzi yanaanza, tangu hapo hamna alichonipa tena zaidi ya neno lake sina pesa. Shida niliconcetrate sana kwenye muonekano wake, shemeji yenu ni li handsome sana, shida halina pesa! Hicho tu yaani dah!
Si ana six pack,mrefu alafu Mweusi?hela unataka za nini?atatumia zako,pambana Dada 😀
 
Shoga Kwa nn hukuhudhuria kikao Cha Wana wake??? Tulikubaliana mwanaume masking apendwe na mama yake na dada zake....huo uhandsome unasaidia nn ikiwa hata vocha Hana??? Tupa uchafu huo
Kwani si ana six pack?mrefu na Mweusi?mnataka hela tena?

Mtalimia meno
 
We Fanya vile nafsi yako inaridhia maisha ndio haya haya
 
Yaani mimi kuwa na mwanaume ambaye hana pesa naona mzigo kwangu na kwa familia yangu. Mwanaume wangu hana kazi yupo idle tu, mimi nina kibarua changu. Jana nimempigia simu (maana siku hizi anani-text tu mimi ndio huwa nampigia) nikimuuliza kwanini unanitext tu, anasema hana hela ya vocha text kaunga za mwezi, hata pesa ya kula hana na yupo kwa shemeji yake anaumwa yeye ndio anamhudumia, dada yake amesafiri.

Nikamuuliza, unaishije hapo kwa shemeji yako ata mia huna na wewe ni mtu mzima inabidi siku moja moja unachangia? Ananiambia sasa nitachangia nini wakati hela sina na kazi sijapata?

Aisee tangu nianze mahusiano yangu huyu mwanaume ndio hana pesa, wanaume wangu wawili wa nyuma walikuwa na mkwanja ukikohoa kidogo tu M-Pesa yako inasoma muda huo huo, ila huyu nawaza kumuacha kila siku, sioni anachonisaidia.

Amewahi kuninunulia kuku nusu tu wakati mapenzi yanaanza, tangu hapo hamna alichonipa tena zaidi ya neno lake sina pesa. Shida niliconcetrate sana kwenye muonekano wake, shemeji yenu ni li handsome sana, shida halina pesa! Hicho tu yaani dah!
Unampa k??
 
Mtumie link ya huu uzi...halafu muoneshe hiki kipande
 
Sijui kama anajishughulisha au laaa!

Lkn kama ni mtafutaji mzuri ila unamuacha Kwa sasa kwa sababu mambo yake hayajakaaa sawa unakosea sana ni suala la mda mambo yatakaaa sawa lkn kama ni mlamba lipsi wa tik tok 🤔🤔Sina la kusema
 
Wa size yake yupi? Mwanaume kutokua na hela ni aibu. Wanaume wengine wanafanya kazi za ajabu ili mradi awe na kitu mfukoni. Mwanaume kusema huna hela kila wakati haipendezi
Kuna wengine mambo yanakua magumu sio kwamba hana lkn unakuta ana upungufu mwingi kuna rafiki yangu alikua analipwa 776K ila akipokea tu simu za madogo shuleni, mama plus makato n.k baada ya wiki ni miayo tu
 
Si ulikuwa unataka mkaka mrefu mweusi, mwenye six packs na vindevu komaa.
Hawa wafupi wenye vitambi ndo wana hela Afu sio wachoyo.
Nyieee kuna mtu nimemkumbuka wooi.
 
Shida ya wanawake wa kibongo mnawaza pesa tu mupewe nyie.

Kuna muda mume unamtengeneza wewe. Kama unampenda na una nafasi ya kipesa kama ulivyosema. Usimpe hela ya kula, Focus kumtengeneza mume wa maisha yenu ya baadae. Mtengenezee biashara ya kueleweka,mdanganye hii biashara nimekopa hela bank tutairudisha kwa muda fulani. Hapo ni kumpima kama anaweza kuiendeleza hiyo biashara.
Au kama yeye ana uwezo wa kufanya biashara fulani,mpe mtaji mwambie nimekopa tutairudisha. Then aangalia hiyo biashara inaendaje. Kama inatembea,ongeza nguvu hapo.

Maisha yanaanza kwa mtindo huo. WASICHANA JITAHIDINI HATA NYIE KUWAANDAA WAUME ZENU WA BAADAE,MSIKAZANIE NA KUWAZA KUISHIA KWENYE MAPENZI TU. MAISHA YA KESHO NI VILE UNAVYOYAANDAA WEWE LEO.
Umtengeneze mume wa maisha what? Unajitutumua kuliwezesha janaume kiuchumi likipata maokoto linaenda kuoa mtu mwingine.
Tafuteni pesa acheni longolongo.
 
.

Nikamuuliza, unaishije hapo kwa shemeji yako ata mia huna na wewe ni mtu mzima inabidi siku moja moja unachangia? Ananiambia sasa nitachangia nini wakati hela sina na kazi sijapata?

Aisee tangu nianze mahusiano yangu huyu mwanaume ndio hana pesa, wanaume wangu wawili wa nyuma walikuwa na mkwanja ukikohoa kidogo tu M-Pesa yako inasoma muda huo huo, ila huyu nawaza kumuacha kila siku, sioni anachonisaidia.

Amewahi kuninunulia kuku nusu tu wakati mapenzi yanaanza, tangu hapo hamna alichonipa tena zaidi ya neno lake sina pesa.
😂😂😂😂 Dah ila kiumbe cha kike ni wabinafsi sana , kama siyo nyege zetu na kutupa ku.ma zenu kwakweli sijui ni kitu gani kingetufanya tuwajali aseeeh maana mpo selfish mno
 
😂😂😂😂 Dah ila kiumbe cha kike ni wabinafsi sana , kama siyo nyege zetu na kutupa ku.ma zenu na miku.ndu kwakweli sijui ni kitu gani kingetufanya tuwajali aseeeh maana mpo selfish mno
VP apo Italy wanawake wako kama Hawa wa kibongo au?? 😃😃
 
Mnapendana kwa dhati?
If yes
Embu jaribu kumtengeneza awe vile unataka!
 
Yaani mimi kuwa na mwanaume ambaye hana pesa naona mzigo kwangu na kwa familia yangu. Mwanaume wangu hana kazi yupo idle tu, mimi nina kibarua changu. Jana nimempigia simu (maana siku hizi anani-text tu mimi ndio huwa nampigia) nikimuuliza kwanini unanitext tu, anasema hana hela ya vocha text kaunga za mwezi, hata pesa ya kula hana na yupo kwa shemeji yake anaumwa yeye ndio anamhudumia, dada yake amesafiri.

Nikamuuliza, unaishije hapo kwa shemeji yako ata mia huna na wewe ni mtu mzima inabidi siku moja moja unachangia? Ananiambia sasa nitachangia nini wakati hela sina na kazi sijapata?

Aisee tangu nianze mahusiano yangu huyu mwanaume ndio hana pesa, wanaume wangu wawili wa nyuma walikuwa na mkwanja ukikohoa kidogo tu M-Pesa yako inasoma muda huo huo, ila huyu nawaza kumuacha kila siku, sioni anachonisaidia.

Amewahi kuninunulia kuku nusu tu wakati mapenzi yanaanza, tangu hapo hamna alichonipa tena zaidi ya neno lake sina pesa. Shida niliconcetrate sana kwenye muonekano wake, shemeji yenu ni li handsome sana, shida halina pesa! Hicho tu yaani dah!
Biashara ya kujiuza imehamia majumbani na sio kwenye madanguro. Wewe ni changudoa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom