Ni watu wazima kabisaHao watoto.
Kabisa kabisa. Sasa wenyewe wana-focus vitu vingine tu. Tena niwaambie wanawake,mume wa kumtengeneza anaweza akawa bora sana ktk maisha yote. Ksbb mnajikuta mna historiaWanawake huwa wanawaza mapenzi na kupokea pesa tu. Ndiyo maana ukiangalia sasa ndoa zimekuwa ngumu sana.
Sisi wanaume huwa tofauti sana, unaweza kuishi hata mwanamke ameishia darasa la 7 au ana tabia zisizoeleweka lkn ukamtengeneza akawa mke bora.
Hapana umekosea kuna kitu kinaitwa kuchoka ni hilo tu unapigwa miti kioa daily na umekuja mwenyewe nanauli yako unaondoka nanauli yako kila kitu unafanya mwenyewe . Hii ni mbaya sana atleast akununulie viepe yaani ukienda kwake anakupiga miti tu hajui chakula wala maji hata sabuni anakuambia siukaoge kwenu sina hela . Maisha sio hivyo maisha nikujaliana bhanaAs long as wewe unaweza kujihudumia mwenyewe kuna shida gani?
Wewe umeingia nae kwenye mapenzi kisa pesa au upate uroda... Ukiona unataka kujitoa kwenye mahusiano kisa mwenzako hana pesa, basi huenda ulijiegesha tu kwake hili kuondoa upweke, hakukuwa na mapenzi ya dhati kati yenu. Mtu ukiwa una mpenda mara nyingi inakuwa ni unconditionally love, hakuna hayo mambo sijui hana pesa, sijui hana hiki.
Na siku zote mpenzi wa kweli ni yule ambaye atakayeweza kukuvumilia wakati wa shida, huyo ambae hauna kazi au pesa anataka kukukimbia vipi ukipata ulemavu au changamoto ya kimaisha?
Hatimae tumefika DarHawa ndio wanawake wa dar sasa
Yule mume wako dereva asiye na hela, ambaye ulimfungulia Uzi, naye umeachana naye lini? Mbona una wanaume wengi?Yaani mimi kuwa na mwanaume ambaye hana pesa naona mzigo kwangu na kwa familia yangu. Mwanaume wangu hana kazi yupo idle tu, mimi nina kibarua changu. Jana nimempigia simu (maana siku hizi anani-text tu mimi ndio huwa nampigia) nikimuuliza kwanini unanitext tu, anasema hana hela ya vocha text kaunga za mwezi, hata pesa ya kula hana na yupo kwa shemeji yake anaumwa yeye ndio anamhudumia, dada yake amesafiri.
Nikamuuliza, unaishije hapo kwa shemeji yako ata mia huna na wewe ni mtu mzima inabidi siku moja moja unachangia? Ananiambia sasa nitachangia nini wakati hela sina na kazi sijapata?
Aisee tangu nianze mahusiano yangu huyu mwanaume ndio hana pesa, wanaume wangu wawili wa nyuma walikuwa na mkwanja ukikohoa kidogo tu M-Pesa yako inasoma muda huo huo, ila huyu nawaza kumuacha kila siku, sioni anachonisaidia.
Amewahi kuninunulia kuku nusu tu wakati mapenzi yanaanza, tangu hapo hamna alichonipa tena zaidi ya neno lake sina pesa. Shida niliconcetrate sana kwenye muonekano wake, shemeji yenu ni li handsome sana, shida halina pesa! Hicho tu yaani dah!
Shoga Kwa nn hukuhudhuria kikao Cha Wana wake??? Tulikubaliana mwanaume masking apendwe na mama yake na dada zake....huo uhandsome unasaidia nn ikiwa hata vocha Hana??? Tupa uchafu huo

wanaume ma hb wana kalaana kakukosa mtonyo...Neema iwaangukieYaani mimi kuwa na mwanaume ambaye hana pesa naona mzigo kwangu na kwa familia yangu. Mwanaume wangu hana kazi yupo idle tu, mimi nina kibarua changu. Jana nimempigia simu (maana siku hizi anani-text tu mimi ndio huwa nampigia) nikimuuliza kwanini unanitext tu, anasema hana hela ya vocha text kaunga za mwezi, hata pesa ya kula hana na yupo kwa shemeji yake anaumwa yeye ndio anamhudumia, dada yake amesafiri.
Nikamuuliza, unaishije hapo kwa shemeji yako ata mia huna na wewe ni mtu mzima inabidi siku moja moja unachangia? Ananiambia sasa nitachangia nini wakati hela sina na kazi sijapata?
Aisee tangu nianze mahusiano yangu huyu mwanaume ndio hana pesa, wanaume wangu wawili wa nyuma walikuwa na mkwanja ukikohoa kidogo tu M-Pesa yako inasoma muda huo huo, ila huyu nawaza kumuacha kila siku, sioni anachonisaidia.
Amewahi kuninunulia kuku nusu tu wakati mapenzi yanaanza, tangu hapo hamna alichonipa tena zaidi ya neno lake sina pesa. Shida niliconcetrate sana kwenye muonekano wake, shemeji yenu ni li handsome sana, shida halina pesa! Hicho tu yaani dah!
Hii taarifa hebu muelezee BABA akoYaani mimi kuwa na mwanaume ambaye hana pesa naona mzigo kwangu na kwa familia yangu. Mwanaume wangu hana kazi yupo idle tu, mimi nina kibarua changu. Jana nimempigia simu (maana siku hizi anani-text tu mimi ndio huwa nampigia) nikimuuliza kwanini unanitext tu, anasema hana hela ya vocha text kaunga za mwezi, hata pesa ya kula hana na yupo kwa shemeji yake anaumwa yeye ndio anamhudumia, dada yake amesafiri.
Nikamuuliza, unaishije hapo kwa shemeji yako ata mia huna na wewe ni mtu mzima inabidi siku moja moja unachangia? Ananiambia sasa nitachangia nini wakati hela sina na kazi sijapata?
Aisee tangu nianze mahusiano yangu huyu mwanaume ndio hana pesa, wanaume wangu wawili wa nyuma walikuwa na mkwanja ukikohoa kidogo tu M-Pesa yako inasoma muda huo huo, ila huyu nawaza kumuacha kila siku, sioni anachonisaidia.
Amewahi kuninunulia kuku nusu tu wakati mapenzi yanaanza, tangu hapo hamna alichonipa tena zaidi ya neno lake sina pesa. Shida niliconcetrate sana kwenye muonekano wake, shemeji yenu ni li handsome sana, shida halina pesa! Hicho tu yaani dah!
Akipata tu pesa ataku damp huko,chukua hatua mapema mkuuYaani mimi kuwa na mwanaume ambaye hana pesa naona mzigo kwangu na kwa familia yangu. Mwanaume wangu hana kazi yupo idle tu, mimi nina kibarua changu. Jana nimempigia simu (maana siku hizi anani-text tu mimi ndio huwa nampigia) nikimuuliza kwanini unanitext tu, anasema hana hela ya vocha text kaunga za mwezi, hata pesa ya kula hana na yupo kwa shemeji yake anaumwa yeye ndio anamhudumia, dada yake amesafiri.
Nikamuuliza, unaishije hapo kwa shemeji yako ata mia huna na wewe ni mtu mzima inabidi siku moja moja unachangia? Ananiambia sasa nitachangia nini wakati hela sina na kazi sijapata?
Aisee tangu nianze mahusiano yangu huyu mwanaume ndio hana pesa, wanaume wangu wawili wa nyuma walikuwa na mkwanja ukikohoa kidogo tu M-Pesa yako inasoma muda huo huo, ila huyu nawaza kumuacha kila siku, sioni anachonisaidia.
Amewahi kuninunulia kuku nusu tu wakati mapenzi yanaanza, tangu hapo hamna alichonipa tena zaidi ya neno lake sina pesa. Shida niliconcetrate sana kwenye muonekano wake, shemeji yenu ni li handsome sana, shida halina pesa! Hicho tu yaani dah!
Amesema huyu alimpenda tu kwa sababu ya u handsome wakeKwa mwanaume unataka nini? Moto anajua kupeleka? Kwanini uliachana na hao Xs wawili wakati walikuwa na maokoto?
Walifirisika nikawaachaYule mume wako dereva asiye na hela, ambaye ulimfungulia Uzi, naye umeachana naye lini? Mbona una wanaume wengi?
Jibu ni kwanini umeachana na wenye hela?
Tafuteni pesa acheni maswali maswali humu jf mwanaume asiye na pesa ni mzigo kwa mkeweYaani mabwana zako uliyowqsema umeachana nao wenye hela, kwanini uliachana nao? Hao wawili, yule dereva, na huyu handsome boy, bado aliyekutoa bikra, bado atakayekuoa, kwanini una wanaume wengi?
Kwa nn abebe mimba ya mtu?Muache harakaaa, ukibeba mimba yake tu umekwishaaaaa