Namtaka chibaba, sitaki kijana

Vijana wa kiume kwa asilimia kubwa wanalelewa na mijimama hawataki mahusiano ya kuombwa hela ya matumizi pindi wakiwa na mahusiano na mabinti
Kwenye thread yako makosa ya vijana wa kiume ni haya hapa

1)Kuzalisha na kuacha single mother sababu ya kukwepa majukumu ya kulea watoto wao
2)Kulelewa na majimama
3) Kutotimiza ahadi ya kuoa

Makosa mawili makubwa ya mabinti wa kike:

1)Kuomba omba hela ya matumizi, na sio kuomba hela ya matumizi maana kama wangekua wanaomba tu mara moja moja wasingekimbiwa na vijana wa kiume
2)Ku-date na vibaba, mwanaume mwenye miaka 45 mara nyingi ana familia yake, utajenga future gani na mume wa mtu..?

Hao mabinti wanao-date na vibaba ni golddiggers, umaskini unawasumbua na wengine wana tamaa ya kuishi maisha mazuri yaliyo nje ya uwezo wao, hiyo ya vijana wa kiume kuwa ivi kuwa vile, ingawa ni tuhuma za kweli, ila wao hutumia izo facts kama visingizio tu vya kuhalalisha kujiuza kwao, maana siamini kama binti wa miaka 22 atavutiwa kimapenzi na mwanaume wa miaka 45+ zaidi ya kua atafata hela tu huko cutelove
 
Ukweli wababa hivi vibinti tunajilia vitamu kweli, halafu gharama za kawaida tuu. Nikilipa kodi ya chumba hata kama sijui kanakaa wapi, kanajiachia tuu. Tunavikuta stationeries na saluni.
 
Mwandiko wa dume mwenzetu aliyeamua kujitoa betri kichwani huu wakuu.
 
Asante nimekuelewa
 
Ndo vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…