Wanapanuliwa njia ya mtoto ili atakapokuja kudate na kijana akute kuna bonge la MteraHapa mtaani kwangu kuna mabinti miaka 20 na 22 wanadate na wababa miaka 45+
Hii kitaalam tunaweza kusemaje
Na mwamba yule sijui nani. Maghala sijui!!!Tuweke rekodi sawa ilikua 7800 mkuu
Na sweta la Tanzania
hakujulikana ni naniNa mwamba yule sijui nani. Maghala sijui!!!
Eti ni mfupi mweusi alivaa sweta lenye bendera ya Tanzania ππ
No, mwanaume anaitwa Maghala, na yeye ndo alitanabaishwa kama mwanamke mfupi mweusi, jamaa alimgonga na kumpa hiyo 7,800. Recall mkuuhakujulikana ni nani
Lakini uwakilishi wake kwa wanaume wafupi ulimakinika
Ipo hivi;Hii ndo kauli inayotamba mitaani kwa sisi wanawake,hatujui kimetukuta nini
Mabinti kwa sasa hawaoni aibu tena kudate na wababa watu wazima kabisa na wanasema hadharani staki mahusiano na vijana kuwa hawana lolote
Mabinti wanadai kuwa mahusiano na vijana yamewaacha wengi kuwa single mother,wanawazalisha kisha hupotea kukwepa majukumu ya kulea na pia hawatimizi ahadi ya kuoa
Vijana wa kiume kwa asilimia kubwa wanalelewa na mijimama hawataki mahusiano ya kuombwa hela ya matumizi pindi wakiwa na mahusiano na mabinti
Hapa mtaani kwangu kuna mabinti miaka 20 na 22 wanadate na wababa miaka 45+
Hii kitaalam tunaweza kusemaje
"Gari sio bodi ni injini" Wassira, Dodoma 2025.Mkizeeka mtawakimbia au mtakimbiwa na wazee wenzenu mtarudi kulea vijana wadogo.
Gari bovu huvutwa na gari zima. Fanyeni kitu roho inapenda.