Namtafutia rafiki msichana bikra

Namtafutia rafiki msichana bikra

Nafuatilia jukwaa hili kila anayetafuta kaenda age wengi ni zaidi ya miaka 25 wengine wanaenda mbali zaidi wana watoto, please bikra jitokezeni nanyi kutafuta hasa chini ya miaka 25 nyinyi wabichi.

Namtafutia rafiki yangu jamani baada ya mimi kuipata na kufurahia maisha ya ndoa

NILIPOSHUHUDIA HILI FURAHA ILIZIDI NAMPENDA MKE WANGU ALIYE NA VIGEZO RAFIKI YANGU AFURAHIE PIA
Nenda labor kaweke na appointment na mama anayetarajia kujifungua , huku utajichosha tu zote zinasoma 10000099000km,,,am just kidding don't take it so serious [emoji6]
 
Bikra aliondoka nayoa Maria siku hizi mtoto anazaliwa anajuwa aina za matango yote yaliyopinda na manene yote anakula kidogo anayeigiziwa Bikra Mfalme Mswati japo anayeisifia mvua imemnyea lakini si wewe umekuta ngoma taiti kwa kuwekewa mgagani unasema Bikra au pengine mkeo ni chiba wa uchi.
hee umejua kunikoshaas chukuaa kola ya Mia saba kwa mgosi nakuja lipiaaa...nshamwambia ajue how women can fake it..et maisha yake ya ndoa yanafuraha sababu alikuta bikiraa,....
 
Hahaaa unaringia bikira hujui alikuwa analiwa nyuma yaani 071 ili ukija taahira kama wewe uone umepata kumbe umepatwa.....we jifanye siku moja umepotea njia uone kama itagoma kuingia kisha ulete mrejesho..
 
unauhakika humu wanapatikana mkuu????😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Huyu jamaa akili zake fyatu kama Side buggati
 
wapo mkuu sio wanawake wote wanagawa sana kwani mtaani kwako hakuna wabishi hata uende na nini bado mgumu?/ au ni mwendo wa chipsi moja chaliiii
 
Kutokuheshimu na kutokuutunza mwili wako ndio chanzo cha kuonekana fyatu maana kama unajielewa huwezi kubali mwili wako uonekane na kila mtu ?
ujanja ni kuwa mhuni hata bila ndoa? jifunze kujitunza mmekula nini wadada wa siku hizi mbona bila kugawa gawa hamuwezi kuishi au vinawawasha
 
Hahaaa unaringia bikira hujui alikuwa analiwa nyuma yaani 071 ili ukija taahira kama wewe uone umepata kumbe umepatwa.....we jifanye siku moja umepotea njia uone kama itagoma kuingia kisha ulete mrejesho..
una miaka mingapi mkuu kama ni zaidi ya 20 njoo nikufundishe namna gani ya kuishi KWA KUJITAMBUA

NAKUAPIA WAPO WANAWAKE WANAOJITUNZA NA K ZAO huyu ni miongoni mwao kama huamini basi uhuni wako na imani yako ndogo ndio chanzo cha yote mrudie Mungu
 
hee umejua kunikoshaas chukuaa kola ya Mia saba kwa mgosi nakuja lipiaaa...nshamwambia ajue how women can fake it..et maisha yake ya ndoa yanafuraha sababu alikuta bikiraa,....
wewe mwanamke ushalaanika naamini hilo maana kwa post zako tu inaonyesha jinsi gani umechoka vipi biashara inaendaje
 
Bikra aliondoka nayoa Maria siku hizi mtoto anazaliwa anajuwa aina za matango yote yaliyopinda na manene yote anakula kidogo anayeigiziwa Bikra Mfalme Mswati japo anayeisifia mvua imemnyea lakini si wewe umekuta ngoma taiti kwa kuwekewa mgagani unasema Bikra au pengine mkeo ni chiba wa uchi.
Kwa imani yako ndogo umewadharau wanawake wote bikra zipo na wapo wanaojitambua ukiipata mtaa wako wote watajua nikuonavyo

ila siri na furaha ya ndoa ipo kwenye bikra huyo ndie uliefunga nae agano omba umpate kama mkeo alikuwa hana ujue umekopeshwa sio wako mkuu
 
wapo mkuu sio wanawake wote wanagawa sana kwani mtaani kwako hakuna wabishi hata uende na nini bado mgumu?/ au ni mwendo wa chipsi moja chaliiii
huku kwetu hawapo,ukipata kama wawili,nijulishe na mimi😛😛😛
 
mimi nilipata bikra nilianzisha shamba mwenyewe kama hukupata kajinyonge UNAJISIFIA UNA MKE HUKU KESHALIWA KITAMBO dushe zishapita zaidi ya kumi
Mke wako alikua wa kwanza kwako? I mean hukuwahi tembea na mtu kabla yake?
 
Kaka mleta huu uzi, una busara kweli wewe? Nani alikwambia ukioa bikra ndo wako na aliyeoa asiye bikra kaoa mke wa mtu??

Hosea alivyoambiwa na Mungu akamuoe Gomeri mwanamke kahaba, hakuona mabikra wa kumfaa mtumishi wake?

Halafu nani aliyewaroga hadi siri za wandani wenu mnaleta kwa social networks? U lack some special knowledge on marriage.

Sorry kama ntakukwaza, cha kuzingatia tu kwa vijana wenzangu, UZINZI ni dhambi.
 
Nafuatilia jukwaa hili kila anayetafuta kaenda age wengi ni zaidi ya miaka 25 wengine wanaenda mbali zaidi wana watoto, please bikra jitokezeni nanyi kutafuta hasa chini ya miaka 25 nyinyi wabichi.

Namtafutia rafiki yangu jamani baada ya mimi kuipata na kufurahia maisha ya ndoa

NILIPOSHUHUDIA HILI FURAHA ILIZIDI NAMPENDA MKE WANGU ALIYE NA VIGEZO RAFIKI YANGU AFURAHIE PIA
Kwahyo ww n Dalal wa Bikra au........?
 
Kutokuheshimu na kutokuutunza mwili wako ndio chanzo cha kuonekana fyatu maana kama unajielewa huwezi kubali mwili wako uonekane na kila mtu ?
ujanja ni kuwa mhuni hata bila ndoa? jifunze kujitunza mmekula nini wadada wa siku hizi mbona bila kugawa gawa hamuwezi kuishi au vinawawasha
Ni kama wewe ulivyowashwa ukazini na wanawake wengi.
 
Kwa imani yako ndogo umewadharau wanawake wote bikra zipo na wapo wanaojitambua ukiipata mtaa wako wote watajua nikuonavyo

ila siri na furaha ya ndoa ipo kwenye bikra huyo ndie uliefunga nae agano omba umpate kama mkeo alikuwa hana ujue umekopeshwa sio wako mkuu
Agano la ndoa ulishalikosea, ungekua nawe bikra ndo ungesema umefunga agano, lakini sababu wewe ulikua used, bas usijifurahishe kwa hlo
 
Back
Top Bottom