Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,874
- 2,203
Nafuatilia jukwaa hili kila anayetafuta kaenda age wengi ni zaidi ya miaka 25 wengine wanaenda mbali zaidi wana watoto, please bikra jitokezeni nanyi kutafuta hasa chini ya miaka 25 nyinyi wabichi.
Namtafutia rafiki yangu jamani baada ya mimi kuipata na kufurahia maisha ya ndoa
NILIPOSHUHUDIA HILI FURAHA ILIZIDI NAMPENDA MKE WANGU ALIYE NA VIGEZO RAFIKI YANGU AFURAHIE PIA
Namtafutia rafiki yangu jamani baada ya mimi kuipata na kufurahia maisha ya ndoa
NILIPOSHUHUDIA HILI FURAHA ILIZIDI NAMPENDA MKE WANGU ALIYE NA VIGEZO RAFIKI YANGU AFURAHIE PIA