Namtafutia rafiki msichana bikra

Namtafutia rafiki msichana bikra

Agano la ndoa ulishalikosea, ungekua nawe bikra ndo ungesema umefunga agano, lakini sababu wewe ulikua used, bas usijifurahishe kwa hlo
mimi agano langu kipindi nimekatwa govi ndipo nilifanya agano na ardhi yeye ndo anatakiwa afanye agano nami na kalifanya hilo
BIKRA NI MWANAMKE jitunzeni shida yenu mnataka kujiweka sawa na mwanaume tambuaeni mwanamke atabaki kuwa mwanamke na mwanamme ni mwanamme tu TUNZENI K ZENU MUONE RAHA YA NDOA
 
Hujui unachokiongea. Umekariri badala ya kuelewa, nahisi umenilinganisha na uliowapitia.
 
Ni kama wewe ulivyowashwa ukazini na wanawake wengi.
Mimi nilizini nikitafuta bikra nilipopata nimetuliaa shida ipo kwenu mkizini tu na wanaume wengi hamtulii nyie mnadanganyika kiurahisi sana na wengi mnashindwa kusahau wale waliowapitia hata ukionana nae unamgawia tu
UTHAMINI MWILI WAKO DAIMA HAPO UTAWEZA KUHESHIMU NDOA YAKO
 
Heeee, we kijana! Jisitiri.
 
Hujui unachokiongea. Umekariri badala ya kuelewa, nahisi umenilinganisha na uliowapitia.
Nisingejua ninachoongea nisingekujibu kama umeolewa na bikra lete maswali huna bikra na huenda hata ndoa huna kipi utaweza kukijibu ndugu yangu si kila kitu lazima upost pita pembeni
 
Hata kichaa huwa anajibu lakini hajui kajibu nn. Na siku zote ukimwambia yy n kichaa atakubishia sababu ana uwezo wa kujibu.
 
Heeee, we kijana! Jisitiri.
KUJITUNZA NDIKO KUJISITIRI
utajali vipi nje ya mwili ili hali mwili wako unashikwa ovyo? lete neno lako kama upo kwenye ndoa na bikra yako wengi mmepiga sana mechi za mchangani NDOA ZINAENDA BORA LIENDE TU ukichelewa kidogo tu mume ana mawazo maana anakufahamu hukawii kugawa nje

TUNZA NDOA YAKO DAIMA NA MUNGU ATAKUWA NANYI nashangaa wengi kuoa bila bikra linaonekana jambo zuri tuache kuendekeza mabaya kwa kuyasafisha kilazima
 
Hata kichaa huwa anajibu lakini hajui kajibu nn. Na siku zote ukimwambia yy n kichaa atakubishia sababu ana uwezo wa kujibu.
Ko katika hapo kipi kinauma ndugu yangu Kukwambia bikra na umuhimu wake rejea andiko acha kupotoka kiimani
 
KUJITUNZA NDIKO KUJISITIRI
utajali vipi nje ya mwili ili hali mwili wako unashikwa ovyo? lete neno lako kama upo kwenye ndoa na bikra yako wengi mmepiga sana mechi za mchangani NDOA ZINAENDA BORA LIENDE TU ukichelewa kidogo tu mume ana mawazo maana anakufahamu hukawii kugawa nje

TUNZA NDOA YAKO DAIMA NA MUNGU ATAKUWA NANYI nashangaa wengi kuoa bila bikra linaonekana jambo zuri tuache kuendekeza mabaya kwa kuyasafisha kilazima
Namaanisha jisitiri kwa maneno yako, si nguo. After all mbona hunifahamu? Ya nini kuhangaika nami ikiwa hujui nina bikra, nina ndoa au sina? Kaa umtunze mkeo kaka.
 
Ko katika hapo kipi kinauma ndugu yangu Kukwambia bikra na umuhimu wake rejea andiko acha kupotoka kiimani
Ungesoma posts zangu ungenielewa, ungekua na imani ungeomba kwa Mungu akupe bikra kuliko kuendelea kuwafanya wake za wenzako mashimo ya madini.

Agano la ndoa linafanywa pale wote mkiwa Safi, sio mwanamke tu hupaswa kuwa bikra, ni wote kaka'ngu. Kama na hapa hujaelewa, usiku mwema.
 
Wewe naamini haupo katika ndoa ungekuwa kwenye ndoa ungejua thamani ya kupata mke bikra unamuanzisha mwenyewe

huyo kuchepuka kwake ujue wewe mwanaume ndo chanzo TAFUTENI BIKRA NA MKIZIPATA MSIZIHARIBU bila hivyo supu ya pweza inakuhusu

rafiki yangu apate raha ya ndoa sio kuoa mke asiye wake katinduliwa zamaniiiiiiiiiiiiiiii
jipe matumain tu mkuu... wanawake c wa kuaminiwa hvyo...
 
Namaanisha jisitiri kwa maneno yako, si nguo. After all mbona hunifahamu? Ya nini kuhangaika nami ikiwa hujui nina bikra, nina ndoa au sina? Kaa umtunze mkeo kaka.
Ni kama wewe ulivyowashwa ukazini na wanawake wengi.

hapa wewe ulijisitiri na hayo maneno yako? BIKRA HUNA ungekuwa nayo ungekuja kwa kusifu maana unajitambua mwili wako una thamani gani
lakini kutokuwa nayo ndiko kunakufanya utokwe na povu

mimi na furaha na elewa hujakidhi vigezo kama dhread yangu ilivyo? naamini hivyo maana UTAMJUA MTU ALIVYO KWA JINSI ANAVYOONGEA

MIMI NISHAKUJUA ni miongoni mwa yes hata kwa chipsi moja
 
Ungesoma posts zangu ungenielewa, ungekua na imani ungeomba kwa Mungu akupe bikra kuliko kuendelea kuwafanya wake za wenzako mashimo ya madini.

Agano la ndoa linafanywa pale wote mkiwa Safi, sio mwanamke tu hupaswa kuwa bikra, ni wote kaka'ngu. Kama na hapa hujaelewa, usiku mwema.
Duuuh kumbe upo kuota mkuu mimi ndie mleta maada nina bikra ndani kwangu namshukuru Mungu katika hilo maana ni adimu hasa kizazi chenu watu kama nyinyi
iMANI HABA NA KUJITAMBUA NI SHIDA haiwezekani kwa akili za mtu mzima ujione mjanja kuruka ruka nje je maandiko yanasema hivyo?

UKIMALIZA KUSOMA KUMBUKA RAFIKI YANGU ANAHITAJI FURAHA PIA
 
Sinaga kawaida ya kujibu upumbavu, lakini kauli zako zimenilazimisha. By the way nina maadili yangu, whether Virgin or not, u r unconcerned.
Nilichosisitiza ni wanaume kujitunza, umenikera kuharibu mabinti wenzangu eti unatafuta bikra, ni ulimbukeni ulopitiliza...

Pole. Tunza familia yako na sio kutukana wake za wenzako.
 
Back
Top Bottom