Namtafutia mamdogo wangu Mume wa kumuoa kisiri bila yeye kujua

habari ndugu zangu!

Poleni kwa msiba wa Taifa!

Nina mamdogo yangu kipenzi umri unazidi kwenda yuko 39 anatamani sana kuzaa ikiwezekana hata ndo ila hakuna tumaini lolote.

Nina uhakika yuko tayari kuwa na mtu yeyote atakayetokea kikubwa apate mtoto.

Lengo la kuandika uzi huu ni kumpata kijana yeyote au mwanaume tutakayepanga namna aweze kumpatia ujauzito mamdogo wangu kipenzi.

sifa za mamdogo yangu.

Ni mkiristo

muajiliwa serikalini

39 years

very charming

black coulour

ana sura ya kawaida huwezi kumuweka katika pisi kali pia hana sura mbaya.

Ahadi yangu kwa bamdogo mtarajiwa ntampa ushirikiano wote na nitampenda na kumuheshimu milele.

this is very serious aliyeko tayari anichek
Mamdogo ni wewe source Shark spears
 
Mkuu Tajirimsomi wewe hii ya upweke umeshapata suluhu?

aiseeee
 
habari ndugu zangu!

Poleni kwa msiba wa Taifa!

Nina mamdogo yangu kipenzi umri unazidi kwenda yuko 39 anatamani sana kuzaa ikiwezekana hata ndo ila hakuna tumaini lolote.

Nina uhakika yuko tayari kuwa na mtu yeyote atakayetokea kikubwa apate mtoto.

Lengo la kuandika uzi huu ni kumpata kijana yeyote au mwanaume tutakayepanga namna aweze kumpatia ujauzito mamdogo wangu kipenzi.

sifa za mamdogo yangu.

Ni mkiristo

muajiliwa serikalini

39 years

very charming

black coulour

ana sura ya kawaida huwezi kumuweka katika pisi kali pia hana sura mbaya.

Ahadi yangu kwa bamdogo mtarajiwa ntampa ushirikiano wote na nitampenda na kumuheshimu milele.

this is very serious aliyeko tayari anichek
Una roho mbaya wewe yaani unafanya njama ya "kumua"
 
Napita...
 
Tupe histora yake ya mahusiano. Ya kimapenzi. imekuaje hadi amefikia hapo hajaolewa wala kupata mtoto?

Muunge na serious Dating sites/App... !
 
habari ndugu zangu!

Poleni kwa msiba wa Taifa!

Nina mamdogo yangu kipenzi umri unazidi kwenda yuko 39 anatamani sana kuzaa ikiwezekana hata ndo ila hakuna tumaini lolote.

Nina uhakika yuko tayari kuwa na mtu yeyote atakayetokea kikubwa apate mtoto.

Lengo la kuandika uzi huu ni kumpata kijana yeyote au mwanaume tutakayepanga namna aweze kumpatia ujauzito mamdogo wangu kipenzi.

sifa za mamdogo yangu.

Ni mkiristo

muajiliwa serikalini

39 years

very charming

black coulour

ana sura ya kawaida huwezi kumuweka katika pisi kali pia hana sura mbaya.

Ahadi yangu kwa bamdogo mtarajiwa ntampa ushirikiano wote na nitampenda na kumuheshimu milele.

this is very serious aliyeko tayari anichek
Karibu in box nipo tayari
 
Mkuu nimesoma post yako kwa masikitiko makubwa, lakini pia pongezi sana kwa ujasiri na hekima ya kumsitiri mama mdogo. Kama ukiwa tayari ni PM nipo tayari kutoa msaada
 
habari ndugu zangu!

Poleni kwa msiba wa Taifa!

Nina mamdogo yangu kipenzi umri unazidi kwenda yuko 39 anatamani sana kuzaa ikiwezekana hata ndo ila hakuna tumaini lolote.

Nina uhakika yuko tayari kuwa na mtu yeyote atakayetokea kikubwa apate mtoto.

Lengo la kuandika uzi huu ni kumpata kijana yeyote au mwanaume tutakayepanga namna aweze kumpatia ujauzito mamdogo wangu kipenzi.

sifa za mamdogo yangu.

Ni mkiristo

muajiliwa serikalini

39 years

very charming

black coulour

ana sura ya kawaida huwezi kumuweka katika pisi kali pia hana sura mbaya.

Ahadi yangu kwa bamdogo mtarajiwa ntampa ushirikiano wote na nitampenda na kumuheshimu milele.

this is very serious aliyeko tayari anichek
Kuna siku nilishasema Kuna jinsia ya Ke sometime iko kwenye wakati mgumu Sana. Kwangu mie huyu Nampa tu mtoto najua ipo siku atakuja kunishukuru.
 
habari ndugu zangu!

Poleni kwa msiba wa Taifa

Nina mamdogo yangu kipenzi umri unazidi kwenda yuko 39 anatamani sana kuzaa ikiwezekana hata ndo ila hakuna tumaini lolote.

Nina uhakika yuko tayari kuwa na mtu yeyote atakayetokea kikubwa apate mtoto.

Lengo la kuandika uzi huu ni kumpata kijana yeyote au mwanaume tutakayepanga namna aweze kumpatia ujauzito mamdogo wangu kipenzi.

sifa za mamdogo yangu.

Ni mkiristo

muajiliwa serikalini

39 years

very charming

black coulour

ana sura ya kawaida huwezi kumuweka katika pisi kali pia hana sura mbaya.

Ahadi yangu kwa bamdogo mtarajiwa ntampa ushirikiano wote na nitampenda na kumuheshimu milele.

this is very serious aliyeko tayari anichek
Come to me..age 27
 
Nitamsaidia tu Nimeguswa
Njoo PM
 
Kama anahamu na mtoto njoo inbox tuyajenge, ndoa nisikudanganye maana ni kitu kizito
 
Back
Top Bottom