Namtafutia baba yangu mke

Mmmh amekosa hata huko kanisani hadi umtafutie kweli.
 


Ndugu yangu wewe! Baba yako hahitaji mke, anahitaji SURIA. Binti mdogo mwenye upendo atakayemtunza na kumtia joto (maana sidhani kama watakuwa wanaduu). Nionavyo mimi, namlinganisha Babayo na mfalme Daudi alipozeeka walimtafutia kijana mwali ili amtie joto na kumhudumia lakini Daudi hakumjua kimwili huyo mwali.

Ukisema atafutiwe mke tena kwa umri ulioutaja, atawapata wale kina bibi bomba (tazama Clouds TV). wale ni micharuko atakufa siku si zake na utajuta kumtafutia mke.
 
Ukipata mama wakaoana kisheria
miezi michache ikapita,baba yako akafa

umewahi fikiria kuhusu 'mirathi itakuwaje'?
mtakubali kumpa mama yenu haki zake?

mtamtunza na yeye?
akipata mume wa kuishi nae kwenye nyumba ya baba yako mtakubali?
aisee bora nusu shari kuliko shari yenyewe
itabidi mzee avumilie tu sasa
 
Mhhhhhhhhhhhhhhhh,

Kila la heri Smile
 
Last edited by a moderator:

Nkwe, Nkyawa inda se?:confused2:
 
ahaaaa hapo sasa badala ya kulea watoto wangu nilee wadogo itabidi mzee apigwe kwanza vasectomy

La haula Smile...unaanzaje kumwambia mdingi tukafanye vasectomy?
 
Last edited by a moderator:
Mhh..... Majanga-mtafute bicheka wamalizane

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…