Kuna mtu namfananisha kama alikuwa anakaa lile bweni la mwisho karibu na makanyagio kule kwa mwl mwangosi lakini sina hakika kama alikuwa miaka hiyo unayoisema.
Mkuu umepatia atakuwa huyo huyo alikuwa anakaa Makongoro kwa mwalimu Mwangosi maana karibia na Makanyagio ni Shaaban Robert West na mwalimu aliekuwa pale alikuwa anaitwa mwalimu Ngui na ndiye aliekuwa Second Master enzi za Mbao headmaster. Baadae Ngui walimpeleka kuwa headmaster kama sikosei secondary ya Mwakaleli Mbeya. Please sasa wewe unaonekana kumfahamu huyo Gwamaka please nipe contact zake
Mi namtafuta mtu anaitwa Nsajigwa Mwakinyuke tafadhali anaejua his whereabouts ani PM
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Naitafuta BAN , mara ya mwisho nilipishana nayo jukwaa la siasa, anayeifahamu ani PM tafadhali
Annet Siara nakutafuta kweli mumie, tulikuwa wote Muhimbili primary (class of 1998)...Uko wapi siku hizi?? Tulikula sana mihogo ya ngalawa na mishikaki ya mangi..na yale mabungo ya yule babu kwenye kake kakona pale nje ya kantini..pila kusahau adhabu za kuokota mbegu za ubuyu 100, loohh!!
Mwalimu matata,manyama mashepu hayo.mwa Julius Noma kweli .unamkumbuka sr Edgara
Uwiiiiiii............ Yegomasika, usinikumbushe kuhusu Pale Snow Cream, ice cream zao zilikuwa tamu balaaa, unakula huku unajiona kwenye vioo upande wote, na ile michoro ya koni ukutani.
Ila sasa hivi imehamishiwa Pale Upanga, karibu na Upanga Pharmacy.
Naitafuta BAN , mara ya mwisho nilipishana nayo jukwaa la siasa, anayeifahamu ani PM tafadhali
popote ulipo nichek facebook rahim chanzy
najitafuta mwenyewe, nimepotelea MMU, atayeniona aniPM
Mhhhh,....... sie tulifundishwa na akina mwl Chuma, Mwl Mwarongo, Mwl kimati.........na wengineo, Ila hao pengine walikuwepo ila tatyizo nimewasahau tu,
Mwalimu mkuu alikuwa Fadhili Saiwad....sahv nasikia sijui yupo Kumbukumbu P/S au Mbuyuni P/S
Ndio.
Afu acha umbea.
Ha kumbe wewe ni mtoto wa ndosi?
Yess Boss, Ndosi product aisee....!! na wewe pia nini???
Btw, movie yako mpya niliipenda Mr. Denzel!!!!
Umesoma twisheni kwa Ndosi? Daaah
Yess Boss, Ndosi product aisee....!! na wewe pia nini???
Btw, movie yako mpya niliipenda Mr. Denzel!!!!
Naitafuta BAN , mara ya mwisho nilipishana nayo jukwaa la siasa, anayeifahamu ani PM tafadhali
Ooooh.Kasara Bitebu na Makumazani plse mkikutana na hi post msiache kuni pm haraka iwezekanavyo.