Namtafuta Upendo Mbogo

Namtafuta Upendo Mbogo

Ulisoma na petit?mmh let me cal you lo
Namtafuta Petiti Koshuma, Rehema Salamba, Diana Palla(Forodhani Primary School)

Babu Jinga(alikuwaga muuza koni maarufu enzi twasoma Forodhani miaka ya 97)

Masudi(alikuwa muuza pipi maarufu pale nje ya geti,Forodhani Primary miaka ya 97)
 
Dah!
Yani ni kitambo sana mdau.
Enzi hzo twagombania kwenda kwa masista kuonja msosi duh.
Enzi za Paredi chini ya ule mti wa Muarobaini.
No fagio wala kidumu.
Tumetoka mbali sana.

Nimesahau probably .forodhani Enzi hizo sakafu karibia shule nzima upande Ike wa sec ndio
Udongo bustani .sikumbuki nilisoma la kwanza mpaka la Tatu nikahama
 
Nimesahau probably .forodhani Enzi hizo sakafu karibia shule nzima upande Ike wa sec ndio
Udongo bustani .sikumbuki nilisoma la kwanza mpaka la Tatu nikahama

Ndio Natalia.........shule nzima ilikuwa ni sakafu tupu.
Udongo ulikuwa pale katikati kwenye kile kibox cha kupima hali ya hewa.
Na pale katikati palikuwa na vijumba vijumba ndo tulikuwa tunacheza mchezo wa 'Vipande'..........
Yaani ni raha tupu.
 
Madame B and Co., Ltd mbona uzi huu mwaufanya chat room?

Ulitakaje?
Raha ya Uzi uchangiwe.
Angetaka usichangiwe angeenda kupachika tangazo gazetini.
Wa wapi wewe!

Hebu Kaa kushoto,wasomi tuongeapo.
 
Ulitakaje?
Raha ya Uzi uchangiwe.
Angetaka usichangiwe angeenda kupachika tangazo gazetini.
Wa wapi wewe!

kumbe raha kujibizana na Madame B! Habari za asubuhi? Nipo Mwashilalage Kwimba, Mwanza. Wewe ni wa Zanzibar UAE?
 
Ulitakaje?
Raha ya Uzi uchangiwe.
Angetaka usichangiwe angeenda kupachika tangazo gazetini.
Wa wapi wewe!

Hebu Kaa kushoto,wasomi tuongeapo.

Ila mme-divert from the focal point...kutafutana.

Hebu mkuu Invisible njoo huku upate idea ya kuongeza ka-sub forum ka mutafutana aisee!!!
 
Last edited by a moderator:
kumbe raha kujibizana na Madame B! Habari za asubuhi? Nipo Mwashilalage Kwimba, Mwanza. Wewe ni wa Zanzibar UAE?

Hebu toa Ashuo lako la Beberu hapa.
Unataka kila upitapo uache vumba.
Kwa hyo kama uko Mwanza mie nifanyaje?
Nilie au nicheke.
 
Ila mme-divert from the focal point...kutafutana.

Hebu mkuu Invisible njoo huku upate idea ya kuongeza ka-sub forum ka mutafutana aisee!!!

Mdogo wangu Mentor,hata mie dada yako unanihesabia makosa?
Rudi ukalale,ukue.
 
Last edited by a moderator:
Mh mmechakachua thread! Nyani Ngabu umeanza kuichakachua thread ukawambukiza na wengine

Sasa mwanzisha thread mmemsaidiaje?
 
Last edited by a moderator:
Sikumbuki vizuri alikuwa Gwamaka nani but jamaa alikuwa anakaa bweni la Lumumba East kwa mwalimu Mgimwa maana Lumumba West alikuwepo mwali Masebo. Pia huyo Gwamaka alikuwa anatokea Mwakaleli na kama sio Tukuyu

Kuna mtu namfananisha kama alikuwa anakaa lile bweni la mwisho karibu na makanyagio kule kwa mwl mwangosi lakini sina hakika kama alikuwa miaka hiyo unayoisema.
 
STOOOOP kama wewe ni almentarius barohongerachi...nakutafuta mkuu...toka enzi izo st pius seminary ulipohama form one...ni PM mkuu
 
Mimi namtafuta Mwanaasha Jakaya Kikwete, yule wa Feza Girls.
 
Naitafuta BAN , mara ya mwisho nilipishana nayo jukwaa la siasa, anayeifahamu ani PM tafadhali
Naona mmeshakutana...... Mwenyezi Mungu kweli hamtupi mja wake..Ban mbaya kuitwa tu ushafika...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom