Namtafuta Upendo Mbogo

Namtafuta Upendo Mbogo

Namtafuta Petiti Koshuma, Rehema Salamba, Diana Palla(Forodhani Primary School)

Babu Jinga(alikuwaga muuza koni maarufu enzi twasoma Forodhani miaka ya 97)

Masudi(alikuwa muuza pipi maarufu pale nje ya geti,Forodhani Primary miaka ya 97)

Hakya nani tena. Nahisi utakuwa umekumbuka hizo pipi na koni.
 
Nami namtafuta Milangitoni John Janga raffiki yangu tuliepoteana kitambo
 
mimi namtafuta angomwile anyumbilile mwanakosya mwakabebenga... PM plz

Jamani mmegeuza sred ya mwenzenu kuwa uwanja wa kuwatafuta wenzenu mliopotezana? Mie nimewasahau wote niliowapoteza.
 
Hakya nani tena. Nahisi utakuwa umekumbuka hizo pipi na koni.

We acha tu,
koni zilikuwa tamu zile.....balaa, Afu + SunVita ndo usiseme..............
Ila Forodhani.....sitapasahau.
4744_94150965862_3089887_n.jpg
 
Nawatafuta wote waliomaliza machame girls enzi za mama manyahi...pm tukumbushiane ya enzi
 
Hivi WAKATI UNASOMA jULIUS ALIKUWEPO BADO?
nA MWALIMU mATATA?

Mhhhh,....... sie tulifundishwa na akina mwl Chuma, Mwl Mwarongo, Mwl kimati.........na wengineo, Ila hao pengine walikuwepo ila tatyizo nimewasahau tu,
Mwalimu mkuu alikuwa Fadhili Saiwad....sahv nasikia sijui yupo Kumbukumbu P/S au Mbuyuni P/S
 
Mhhhh,....... sie tulifundishwa na akina mwl Chuma, Mwl Mwarongo, Mwl kimati.........na wengineo, Ila hao pengine walikuwepo ila tatyizo nimewasahau tu,

Mwalimu Julius ndo alikuwa maarufu kuliko wote..
Mwalongo bado yupo?
Kimati yupi?sister kimati?
 
Gwamaka nani?

Sikumbuki vizuri alikuwa Gwamaka nani but jamaa alikuwa anakaa bweni la Lumumba East kwa mwalimu Mgimwa maana Lumumba West alikuwepo mwali Masebo. Pia huyo Gwamaka alikuwa anatokea Mwakaleli na kama sio Tukuyu
 
Mwalimu Julius ndo alikuwa maarufu kuliko wote..
Mwalongo bado yupo?
Kimati yupi?sister kimati?

Kwa kweli Sijui alipo Mwl Mwalongo, Mwl kimath alikuwa mmama na Mwl Chuma alikuwa mmama.
Mwl Julius simfahamu,labda nimemsahau.
subiri kwanza Unaizungumzia Forodhani ya mwaka gani?
Sie tulikuwa intake ya akina Irene, yule dada yake Martina chambiri........alieimba wimbo wa Tanzania eeeee, Tanzaniaa aaaa, Takobela say, Kochela zulukeai.
 
Masudi muuza pipi bado yupo?
Forodhani shule hiyo hiyo
ingawa nilisoma zamani zaidi
 
Masudi muuza pipi bado yupo?
Forodhani shule hiyo hiyo
ingawa nilisoma zamani zaidi

Kumbe wana-Forodhani tupo wengi humu!
Nawakumbuka sana Mwl Julius(JJ), Mwl. Matata(my favorite teacher), Sr. Kimati, Nyalika, Bange(my favorite too). Wakati huo Mwalimu Mkuu alikuwa Mrs. Mbuya(nadhani alishafariki)
Madame B asante kwa picha imenikumbusha mbali.
 
On serious note jukwaa la kutafutana watu mliopotezana linahitajika sio siri...na huu ndio urafiki..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom