Namtafuta Upendo Mbogo

Namtafuta Upendo Mbogo

Hakya nani tena. Nahisi utakuwa umekumbuka hizo pipi na koni.

Mie pia nimesoma foro and petiti koshuma niko na number zake na wengine na pia natafuta wengine. Na kuhusu waalimu nimeonana na baadhi tena kama mwalimu Salma,Vicky,lulanga,sewadi pia na mwalimu nyalika niliongea nae katika simu. Ila kasema walimu wengi wamefafiki pia
 
Nawatafuta wafuatao Mohamed lyoba, Asha Rajabu, uyui sec school Tabora (1994)
 
hahah!!haha!! kumbe nilipitwa hapa kulikuwa na mambo ya kutafutana bwana..na mimi natafuta jamani namtafuta LINNA..mnipe contact zake wadau....mnipiemu basi kama mnazo...
 
Haaahaaa jamani chaupele popote ulipo ni pm jina ni lilelile
 
Humu Forodhani P/S wamo wengi hadi raha...amakweli jasiri haachi asili....ktk flashback zangu Mimi namkumbuka mwalimu Ngido aliyenifundisha hesabu drs la kwanza.....Mwalimu Salma kiswahili darasa la 2.,Mwalimu Crosmass hesabu darasa la 3....Walimu wengine ninaowakumbuka ...Mwalimu Chuma,... mwalimu Minja,....Mwalongo,...Julius...,Mwalimu Matata,...mwalimu Kayombo....Florence(lusanjo), mwalimu vicky,...mama Nyalika,..Anna,Mwalimu Mushi..,Mwalimu Lulanga..,Madam Simon,..Mwalimu Asenga,...Mwalimu Urassa na Head teacher akiwa Fareed Saiwaad.
 
Jamani na mimi namtafuta demu mmoja anaitwa Rihana mwenye contacts tafadhali ani PM🙂...Mara ya mwisho nilisikia ati anaishi pande za Hollywood..(eeh nifanyeje sasa si kila mtu anatafuta mtuwe bwana🙂
 
Wengine mnawatafuta walikuwa cute miaka ile sasa hivi mkiwaona mtawashangaa lol

Mimi namtafuta binti mmoja wa Jangwani Sec alikuwa my secret admirer those days nilimpa tabu sana. hahaha
 
Popote ulipo nichek facebook rahim chanzy

Huyu Upendo Mbogo, jina lake jingine anaitwa nani? mara ya mwisho mlionana wapi na mwaka gani? Ninamfahamu Upendo Mbogo but sina uhakika sana kama ndiye unaye muulizia.
 
Mie pia nimesoma foro and petiti koshuma niko na number zake na wengine na pia natafuta wengine. Na kuhusu waalimu nimeonana na baadhi tena kama mwalimu Salma,Vicky,lulanga,sewadi pia na mwalimu nyalika niliongea nae katika simu. Ila kasema walimu wengi wamefafiki pia

jaman where is petiti koshuma?....(kiss @ same) kilimanjaro..i miss u nilikua na habili koshuma ur brother when i was visiting my friend there @ tbt kimanga last week
 
Duh, wajameni hadi sasa hakuna aliyenitafuta!

Mimi namtafuta Thobias Nyaulingo, tulisoma primary darasa moja kule Kigogo Luhanga kwa Binti Kahenga, kabila lake Muhehe, nakumbuka siku moja alimtoboa mwanafunzi mwenzie kwa bikali kiutani utani.
 
Mmmmmmmh, na mm namtafuta SIWEMA MAJULA, hopefully atakuwa kanda ya ziwa (Mwanza .................). Kama yumo humu au kama kuna anayemfahamu ani PM
 
Mie pia nimesoma foro and petiti koshuma niko na number zake na wengine na pia natafuta wengine. Na kuhusu waalimu nimeonana na baadhi tena kama mwalimu Salma,Vicky,lulanga,sewadi pia na mwalimu nyalika niliongea nae katika simu. Ila kasema walimu wengi wamefafiki pia

emmy kibanga my dear, mie nilikuwa darasa moja ma Petiti Koshuma, Fortunata Ndilla, Asia Mohamed, Rehema Salamba, Diana Shemndolwa, Tutindaga Mwafyale na wengineo.
 
Last edited by a moderator:
Ecoutez moi ça;6387109 said:
Mmmmmmmh, na mm namtafuta SIWEMA MAJULA, hopefully atakuwa kanda ya ziwa (Mwanza .................). Kama yumo humu au kama kuna anayemfahamu ani PM

Wewe ni Emmy Kibanga mtoto wa mwalimu Kanyawana aliyekuwa Bunju?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom