Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,835
- 37,444
Kumbe wana-Forodhani tupo wengi humu!
Nawakumbuka sana Mwl Julius(JJ), Mwl. Matata(my favorite teacher), Sr. Kimati, Nyalika, Bange(my favorite too). Wakati huo Mwalimu Mkuu alikuwa Mrs. Mbuya(nadhani alishafariki)
Madame B asante kwa picha imenikumbusha mbali.
Enzi za Tahfif kule mtaa wa nyuma,
Nakumbuka chimbo langu lilikuwa ni kule Cathedral Book Shop.........Niliazimaga Kitabu mpaka leo bado ninacho......tumetoka mbali sana.
Nilikwamaga na Lifti pale Telecom House........ilikuwa ndo zetu, tunatoroka pindi, tunaenda kupanda lifti.