Namtafuta Petiti Koshuma, Rehema Salamba, Diana Palla(Forodhani Primary School)
Babu Jinga(alikuwaga muuza koni maarufu enzi twasoma Forodhani miaka ya 97)
Masudi(alikuwa muuza pipi maarufu pale nje ya geti,Forodhani Primary miaka ya 97)
Sijampata Shosti.
Una mawasiliano nae?
sina ila ntakuombea kwa mtu.
Mi namtafuta Alexander Herbert Mwasisyoba, niliachana naye Ifunda Tech mwaka 1991.