Kumbe wana-Forodhani tupo wengi humu!
Nawakumbuka sana Mwl Julius(JJ), Mwl. Matata(my favorite teacher), Sr. Kimati, Nyalika, Bange(my favorite too). Wakati huo Mwalimu Mkuu alikuwa Mrs. Mbuya(nadhani alishafariki)
Madame B asante kwa picha imenikumbusha mbali.
Hivi WAKATI UNASOMA jULIUS ALIKUWEPO BADO?
nA MWALIMU mATATA?
forondooooooooooooooo
we theboss
mwl julius alitulizwa na mdada muuza sunvita....ukali wote ukaishia mfuko wa shati na mkewe akamwona si mtu....
Unless ni mwl julius mwingine
sio yule wa physics
Madame B, nilikuwa nakuona pale snow cream..ulikuwa unapenda sana ile "Banana boat"..!.Namtafuta Petiti Koshuma, Rehema Salamba, Diana Palla(Forodhani Primary School)
Babu Jinga(alikuwaga muuza koni maarufu enzi twasoma Forodhani miaka ya 97)
Masudi(alikuwa muuza pipi maarufu pale nje ya geti,Forodhani Primary miaka ya 97)
Masudi muuza pipi bado yupo?
Forodhani shule hiyo hiyo
ingawa nilisoma zamani zaidi
Hivi WAKATI UNASOMA jULIUS ALIKUWEPO BADO?
nA MWALIMU mATATA?
Madame B, nilikuwa nakuona pale snow cream..ulikuwa unapenda sana ile "Banana boat"..!.
Mwalimu mwalubandu alifariki maskiniWe acha tu,
koni zilikuwa tamu zile.....balaa, Afu + SunVita ndo usiseme..............
Ila Forodhani.....sitapasahau.
Mwalimu Julius ndo alikuwa maarufu kuliko wote..
Mwalongo bado yupo?
Kimati yupi?sister kimati?
Mwalimu mwalubandu alifariki maskini
Sr Edgara Vipi?mimi long time Enzi Za mbuya mwl barongo
maskini jamaniiiiiiiii............
Mwl Barongo alikuwa ana kichwa kikubwa,,,,,,,,,,
mwanae alikuwa anaitwa Mathew
Haha long time duhwe theboss
mwl julius alitulizwa na mdada muuza sunvita....ukali wote ukaishia mfuko wa shati na mkewe akamwona si mtu....
Unless ni mwl julius mwingine
sio yule wa physics
Popote ulipo nichek facebook rahim chanzy
Mwl manyama kasheshe