piper
JF-Expert Member
- Jan 17, 2012
- 3,253
- 612
huyo achana nae tu. Keahawekwa suria na nyinyiemu hata wakimuachia hafai hata kwa kurumangia.
Hahahahaha, JF bana inafurahisha
huyo achana nae tu. Keahawekwa suria na nyinyiemu hata wakimuachia hafai hata kwa kurumangia.
Mimi namtafuta Hasina Idd Mvungi, alisoma Sumve High Schoo miaka ya 2003 hivi. Mwenye contacts zake ani-PM.
namtafuta John Njau popote pale ulipo nicheki pm
Yule alikuwaga mweupe hivi,halafu alikuwa anapenda kuvaa sket fupi , na yeye na mwalimu Mshauri zilikuwa hazipandi?
mimi namtafuta angomwile anyumbilile mwanakosya mwakabebenga... PM plz
umeanza kutafuta wake za watu, naona unaenda pabaya. nimeshamuoa usimsumbue.Popote ulipo nichek facebook rahim chanzy