Namtafuta the Boss

si ulimwona alivyokuwa mdogo???

Anajua kabisa anakopeleka mboga na kwenda kulala.

Odm wa wajukuu wote, usiseme, ila mie ndo kipenzi cha wajukuu wake.
Ni kumng'oa ndevu tu.

Mi mwenyewe nilidhani hivyo eti!
Siku hiyo nasalimiana na boss kirafiki tu kongosho nusu anitoe macho!
 
hapa ndo hapa hati miliki tena sealed, kwingine twende tuks-sheee.

Ila huyu, hapana.

Ndo maana nimemwambia, akitia maguu hapa nampa talaka 4.
Labda kama ananiijia tukale cha jioni.

Huyu anaye Maofung ambaye ni bagah, sijui anataka aonje na baba mkwe wake.

Hana adabu kabisa!

Bora umchukue, maana Kongosho anataka kuweka hati miliki kila mahali......
 
afu na wewe, kwa nini unajibu PM zangu za Mwali unazibounce-sha???

Huyu anacheza na mie
nimlee kijana aote mvi
afu tusichana tuanze kujipitisha saa hii
kweli ntaua mtu, na nisilaumiwe lol

Jaribu kutuma kwa special delivery.
 
sio kwamba you can't me
you cant my heart for him is big

sie kuachana labda mlima kilimanjaro uhamie Nkasi, na ziwa victoria lihamie Dodoma.

We ndevu hazishonewi wigi na mkuki haukong'olewi kwa kwenzi
 
Shem mambo njoo nyumbani uchukue zawadi yako nimekuletea kutoka safari

Mi mzima kabisa shem, kumbe usharudi toka safari? mbona kimya kimya.. Nipo kwenye kikao hapa, ntapita hapo around saa moja hivi.. Si mtakuwepo?
 
haya msubiri kama atakuja hapa.
Hata akikuambia 'am humbled' jua waweza ninyang'anya

ila kama unamuona yuko kimya, he he he ushaliwa bibiee.

Kama picha imekushinda kuangalia, basi kusoma hutaweza.

Hebu ngoja nimwogeshe mie, kupendwa ndio huku eeeeh, kupendwa kuheshimiwa.

We ndevu hazishonewi wigi na mkuki haukong'olewi kwa kwenzi
 
afu na wewe, kwa nini unajibu PM zangu za Mwali unazibounce-sha???

Huyu anacheza na mie
nimlee kijana aote mvi
afu tusichana tuanze kujipitisha saa hii
kweli ntaua mtu, na nisilaumiwe lol
Huwa unasoma PMs ninazomtumia Mwali?
Ndio mipango ya kando hiyo.
 
Madoudou imekula kwake......

Ila the boss mbona simuoni? Aje a-comfirm majidai yako......

A
sio kwamba you can't me
you cant my heart for him is big

sie kuachana labda mlima kilimanjaro uhamie Nkasi, na ziwa victoria lihamie Dodoma.
 
haya msubiri kama atakuja hapa.
Hata akikuambia 'am humbled' jua waweza ninyang'anya

ila kama unamuona yuko kimya, he he he ushaliwa bibiee.

Kama picha imekushinda kuangalia, basi kusoma hutaweza.

Hebu ngoja nimwogeshe mie, kupendwa ndio huku eeeeh, kupendwa kuheshimiwa.

kwa heri kidogo nahamia Arumeru kumtafuta rejao nikirudi narudi nakuja na mumeo mkononi peopleooozi powerrr
 
haya msubiri kama atakuja hapa.
Hata akikuambia 'am humbled' jua waweza ninyang'anya

ila kama unamuona yuko kimya, he he he ushaliwa bibiee.

Kama picha imekushinda kuangalia, basi kusoma hutaweza.

Hebu ngoja nimwogeshe mie, kupendwa ndio huku eeeeh, kupendwa kuheshimiwa.

We mwogeshe tu na hakirudi kwako atakuwa keshachafuka
 
wakati mwenzie naitwa mtoto na uzee huu
chezeiya kongosho weye
akiingia kwenye malavidavi kadhamiria.

Hawezi kuja hapa nshasema.
Nenda MMU, utamkuta

Madoudou imekula kwake......

Ila the boss mbona simuoni? Aje a-comfirm majidai yako......

A
 
mmmh, naanza kuwa na wasi wasi na wewe
umeanza kuwa mjanja kama AshaDii siku hizi

mbona kuna moja umemjibu naniliyu wangu kupotia ID yangu?

Sasa nikihack zako nitajuaje za mwali zinabounce?
 
mmmh, naanza kuwa na wasi wasi na wewe
umeanza kuwa mjanja kama AshaDii siku hizi

mbona kuna moja umemjibu naniliyu wangu kupotia ID yangu?
AshaDii amekuwa mjanja siku hizi? Kivipi? Amehack PMs zako?
 
ananidanganya afu namwamini, afu ananidanganya tena.

Anakaribia kuingia PM kabisa.

Sasa na wewe umeanza kuwa hivyo
tulikubaliana tuchakachue ile tenda afu sijui ukampa nani
lazima nicheze rafu hadi apate Mwali.

AshaDii amekuwa mjanja siku hizi? Kivipi? Amehack PMs zako?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom