Eti eh? Yasije yakawa kama yale ya Diamond na Wema Mlimani City
Hahahhaaaaa lol...afu wewe
ukija sayu sayu nakupopoa mawe.
Wamemtoa kwenye jf udaku "Theboss amekamatwa na mke wa mtu. aamua kuitelekeza familia na kukimbilia nje ya nchi"
wakubwa tulielewa
wema na Diamond bado wanapendana lol
ndo haya ya Mwali!
Utaolewa na kaka yake? Shem yako kivipi?mambo cousin? Naona upo na shem EMT. Lol
Kongosho, ukimtaka yule pet njoo kwangu tuongee.Tenda ipi tena wakati biashara iliisha kitambo?
Ndio maana yakeKwa hiyo wewe ni special deliver?
And you'd be right. Hata yeye kachagua kutumia inbox yanguHivi huwajui wanawake wewe??
Anakutia wivu bure.
Huyu hata nimkute na The Boss wala sishtuki
najua mbinu za wadada
Ilitokea nini hapo?Eti eh? Yasije yakawa kama yale ya Diamond na Wema Mlimani City
Huyu madu duu nahisi namfaham,ni flan kwa ID mpya?
Samahani mwali The boss shemeji yangu nini kwako?Inbox yake imejam. we nitumie mimi nitamfikishia (in fact yuko hapa next to me anakusoma)
No, lol. Jana ilikua April's fool, we were just chit chating.Samahani mwali The boss shemeji yangu nini kwako?
Huyu madu duu nahisi namfaham,ni flan kwa ID mpya?
ulitaka tuambizane I DO kwenye sredi za watoto
sie wazee wazima huwa tunaangalia tu.
Just stay away from my kichane cha ndizi.
Gusa wengine wooote lakini hapa nitakupoteza, najua kucheza rafu na fair.
Kwanza. Sasa hivi nimemwambia kuloug off jei efu.
Tafuta dogo dogo wenzio, labda jaribu Bagah anaweza kukufaa.
we husninyo bado zamu yako
hehehe! Mi nakusomea tu suratul mmong'onyo then tokeo utalipata.