Kumbe wewe mdanganyika eh?ananidanganya afu namwamini, afu ananidanganya tena.
Anakaribia kuingia PM kabisa.
Sasa na wewe umeanza kuwa hivyo
tulikubaliana tuchakachue ile tenda afu sijui ukampa nani
lazima nicheze rafu hadi apate Mwali.
Kumbe wewe mdanganyika eh?
Tenda haichakachukuliwi.
Kama offer zetu hazikuwa attractive ndio hivyo tena imekula kwenu.
mmmh, naanza kuwa na wasi wasi na wewe
umeanza kuwa mjanja kama AshaDii siku hizi
mbona kuna moja umemjibu naniliyu wangu kupotia ID yangu?
The Boss anasema tena:Jaribu kutuma kwa special delivery.
The Boss anasema tena:
kama kuna mtu anataka kuwasiliana nae
atume PM kwangu, atasomea hapa hapa.
Kongosho...... nakuita asali yangu. Kikojoleo kinahitaji msaada wako!
unanisaliti lakini navumilia tu.
Tenda ipi tena wakati biashara iliisha kitambo?Ngoka nikatafute mathematician wa tenda aje atusaidie jinsi hii calculation inavyoenda.
The Boss anasema tena:
kama kuna mtu anataka kuwasiliana nae
atume PM kwangu, atasomea hapa hapa.
We mume wa big mama unamtafutia nini!
umeona Husyn?
Huwa wanamchokoza big mama
mwishowe apate burn kwa kumwagia mtu tindikali bure.
Kwa hiyo wewe ni special deliver?
nitumie sh 725/= nikurushie kajini kamoja made in mpwapwa.
he he , tufanye ka 921/= Tshs.
Ila bwana mkubwa hawezi kuja hapa, keshaniona ninavyomlinda.
bwana mkubwa kumbe muoga, angekuja kumshushua huyu mpenda vya watu. Lol.
hizo nguvu zakushusha anazitunza kwa ajili ya usiku lol
ukisoma hapa futa watu wasione.
usiku mnataka mfanye nini kwani? Lol
bwana mkubwa kumbe muoga, angekuja kumshushua huyu mpenda vya watu. Lol.
Hivi huwajui wanawake wewe??
Anakutia wivu bure.
Huyu hata nimkute na The Boss wala sishtuki
najua mbinu za wadada
Bossman na kokoo wapi na wapi? kokoo mwenyewe mwiiingi...lol