trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 746
Unayajua matusi wewe?
Kanionea huruma hapo uliponukuu WAPUMBAVU,UPUMBAVU WAO....
Unayajua matusi wewe?
jiasaidie usaidiwe mkuuhivi madame b, mr. Rocky, kaka erikb52 hawapo kunisevu au ndo siku ya kufa nyani miti yote inateleza?
jiasaidie usaidiwe mkuu....HATA Messi pamoja na kuzungukwa na wakali kibao wanaomlisha pasi za mwisho lakini mwenyewe vilevile hufanya jitihada binafsi kufumania nyavu...onyesha jitihadaa kwanza kabla ya Madame B NA Erickb52 kuja kutoa msaadaHivi Madame B, Mr. Rocky, kaka Erikb52 hawapo kunisevu au ndo siku ya kufa nyani miti yote inateleza?
Mkuu Ismail N. Juma,kwa sie wengine,neno la Mungu ndilo kipimo cha kila kitu maishani.
Hivyo,hata ndugu stevoh hapa alipo nitokea,napenda kumwambia with Vivid evidence from the Bible,kwanini nimeamua nilivyo amua.
Log in.. Napita tu, ila neno la Mungu halichezewi kama baadhi yenu mnavyo litumia humu CC, neno la Mungu linatakiwa litumike katika hari ya unyenyekevu na utii wa hali ya juu. Kila la kheri
sio waniinue. Wakupe sapoti uniinue unichukue moyoni mwako niwe salamaaaa
Muonee huruma mwenzio Marry Hunbig ... Mi sitanukuu kwa sasa..
Si nilikimbilia Bible kuverify.. mh kilinishukajee..
hahaha!!
Unajua mkuu trachomatis,hata mi nikahisi kademu kanatuzuga,si nikaenda kuchungulia bible bwana,dah!
Sijui kameitafuna bible haka,maana stevoh anasutwa hapa kwa maandiko tu!
Du!
Marry Hunbig stevoh let no one despice ur youth,and greet with one another with a holly kiss mwaaaaaaaa
Mathayo 7:15-"Jihadharini na manabii wa uongo,watu wanao wajia wamevaa mavazi ya kondoo,walakini ndani ni mbwa mwitu wakali"
Nimekushtukia Chimbuvu!!