trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 746
Mh.. Loading........ Please wait..... 30%..50%..85%.....................................100% .. Status Connected
Hahahhahahahahhahahahahhahahahahahahhahahahahha psalms 2:4(he who sits in heaven laughs..)1chronicles 16:22,touch not my anointed ones,and do my prophets no harm,psalms 105:15 touch not my anointed ones
Mathayo 7:16-"Mtawatambua kwa matunda yao.Je!Watu huchuma zabibu katika miiba,au tini katika mibaruti?"
Mathayo 7:21-"Si kila mtu aniambiaye Bwana,Bwana,atakayeingia katika ufalme wa mbinguni,bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni"
Hata shetani alitumia neno la Mungu kumjaribu Yesu,kama wewe ufanyavyo,lakini Yesu alimshinda kwa neno!
Soma mathayo 4:1-11.
"basi kesheni
Ninyi kila wAkati nkiomba ili mpate kuokoka katika hayo yote yatakayotokea na kusimama mbele za mwana wa Adamu"!

Wewe una macho stevoh?
Una masikio?
Isaya 6:9-"Naye akaniambia,Enenda ukawaambie watu hawa,Fulizeni kusikia lakini msifahamu,fulizeni kutazama lakini msione."
Marko 4:12-"Ili wakitazama,watazame,wasione,
Na wakisikia wasikie wasielewe..."
NAKUSHANGAA!!
hahaha!!
Unajua mkuu trachomatis,hata mi nikahisi kademu kanatuzuga,si nikaenda kuchungulia bible bwana,dah!
Sijui kameitafuna bible haka,maana stevoh anasutwa hapa kwa maandiko tu!
Du!
uuuuh unataka uniambie kua sisikii wala sielewi?? Nifanyeje? Give me a solution.
Ubatili ubatili nimeuona chini ya jua,anayependa stevoh hapendwi Marry Hunbig,anayependwa Marry Hunbig anampenda mwingine Chimbuvu,anayependwa@Chimbuvu anapendana na Madame B
Marry Hunbig naomba sikiliza kilio cha mtoto wa mwanamke mwenzio na uache siasa za kwenye baibo.
"basi kesheni
Ninyi kila wAkati nkiomba ili mpate kuokoka katika hayo yote yatakayotokea na kusimama mbele za mwana wa Adamu"!
Heee ntake radhi tangu lini bible ikawa novel? Huyajui haya? Lol
Umemsikia Chimbuvu apo juu akisema " jiwe walilokataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni, neno hili limetoka kwa Bwana nalo ni ajabu machoni petu"?
Psalms 118:22-25,,' the stone which the builders rejected has become the chief cornerstone,its the Lords doing,marvelous in our eyes