Namtafuta Mary Hunbig....

Namtafuta Mary Hunbig....

Hassan Rehani Bitchuka aliimba hivi ''Usiponipenda mimi! wenzio wanitafuta'' izza vituko madhara ooh dada na mengi nimejitahidi kuvumilia....!

Sasa Stevoh anayekupenda mpende na asiyekupenda achana nae usijejikuta unazeeka kwa kumfuatilia asiyekupenda..

Huyu mary inaelekea hapendi wanaume wafupi!
 
baba mi si mfupi ng'oo
 
Marry Hunbig kila jambo ktk maisha lina wakati wake,mwangalie kijana wa watu anavyohangaika angalia kijana anavyokupenda jinsi matiti yako yalivyo mazuri kama wanaswala mapacha walao nyasi (wimbo ulio bora 4;5) ,ooohh binti sayuni nitainuka nikutafute ulipo,nitatembea katikati ya mji na kuwa uliza yupo wapi mrembo Marry Hunbig anayependwa na stevoh,ooohhh jmn muonee huruma kijana mpaka kaweka mambo hadharani,mkubalie ili muende ktk kamati ya screening na ya Baba V
 
Last edited by a moderator:

Shindwa pepo!!
Source: Filipo
 
Kwa kuimbisha we chiboko!
 
Hii ni nzuri sana kwa matumizi ya kawaida!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom