Namtafuta Mary Hunbig....

Namtafuta Mary Hunbig....

Log in.. Napita tu, ila neno la Mungu halichezewi kama baadhi yenu mnavyo litumia humu CC, neno la Mungu linatakiwa litumike katika hari ya unyenyekevu na utii wa hali ya juu. Kila la kheri
 
I hope wanaoyatumia, wanayatumia kwa unyenyekevu na utii wa hali ya juu!
 
Log in.. Napita tu, ila neno la Mungu halichezewi kama baadhi yenu mnavyo litumia humu CC, neno la Mungu linatakiwa litumike katika hari ya unyenyekevu na utii wa hali ya juu. Kila la kheri

Mkuu Ismail N. Juma,kwa sie wengine,neno la Mungu ndilo kipimo cha kila kitu maishani.
Hivyo,hata ndugu stevoh hapa alipo nitokea,napenda kumwambia with Vivid evidence from the Bible,kwanini nimeamua nilivyo amua.
 
Last edited by a moderator:
Log in.. Napita tu, ila neno la Mungu halichezewi kama baadhi yenu mnavyo litumia humu CC, neno la Mungu linatakiwa litumike katika hari ya unyenyekevu na utii wa hali ya juu. Kila la kheri

shukrani kwa mchango. Ushauri na mawazo yako.
 
Mkuu stevoh,kwa hali ninayo iona kwenye huu uzi,itabidi ukale chimbo kwenye bible,afu uitumie kumtongoza huyu Marry Hunbig,lasivyo huchomoki hapa!!
 
Last edited by a moderator:
Shikaneni mikono kwanza,alafu mmoja amuombe mwenzake outing
 
Hivi Madame B, Mr. Rocky, kaka Erikb52 hawapo kunisevu au ndo siku ya kufa nyani miti yote inateleza?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom