Kazi ipoCc mshanajr
Damu ya Kishana haitakaa ipoteeKina Mshana mtoto huyo amelelewa na mama peke yake kazi kwenu
Hivi mkuu kwa kutumia darubini asilia huwezi kujua asili ya ukoo wa kijana? Hiyo maujuzi yangepunguza upotevu wa muda kutafutana kwenye mitandao. Ha ha haHahhahahaaaa duuuuu mwana umenirukia fasta BTW nitafanya naye mawasiliano
Nadhani hata Kigwangwala alisaidiwa hapa hapa kuweza kuwasiliana na mzazi wake ambaye alikuwa katika matatizo makubwa na kuhitaji msaada huku kijana akijipanga kugombea ukuluHii forum ilifanikisha Mshkaji mmoja kupatana na nduguze kwenda kumuona Mzee wake ambaye hakupata kumuona mpaka anafikia miaka30,Mungu amjaalie mdogo'wetu ampate Baba yake..kuna watu wanasema eti kama alikukimbia ana ffaida gani,kutokujua asili yako kunaumiza sana ni kama kuwa mkimbizi ktk nchi ngeni..itoshe kusema kwamba maisha ya binaadam yanakuwa mazuri pale anapofahamu chanzo kilichomleta duniani hata kama wamefariki kuona tu walipozikwa kunampa mtu faraja.
Fanya hima asee! Kijana anahitaji school fee huyu! I hope hujamliza rmb zile[emoji1] [emoji1]Hahhahahaaaa duuuuu mwana umenirukia fasta BTW nitafanya naye mawasiliano
Damu ya Kishana haitakaa ipotee
mshana jr amepita huku?Mimi ni Rashidi Masoud Mshana naishi Tunduru namtafuta baba yangu Rashidi Mshana aliniacha nikiwa mdogo sana .Mama yangu anaitwa Gisela Fussi mtoto wa mwalimu Fussi.
Kwa sasa nina umri wa miaka kumi na saba na. Na nasoma kidato cha nne huyu Rashidi Mshana alikuwa mwalimu wa shule ya msingi huku Ruvuma na baadae alihama.Kwa atakayempata anipigie namba 0688071791 .
Asanteni.
Ujumbe huu nimetumia na kijana akimtafuta baba yake nikaona niweke haya maelezo hapa labda anaweza kupata msaada na sababu ya kutumiwa ujumbe ni kuwa mimi na huyo anayetafutwa tunafanana majina90% hivyo wakat dogo anatafuta waliopata maelezo wakahisi ni mm japo niligundua kuwa sio mm.
Duc in Altum