J33
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 1,552
- 1,512
Mimi ni Rashidi Masoud Mshana naishi Tunduru namtafuta baba yangu Rashidi Mshana aliniacha nikiwa mdogo sana .Mama yangu anaitwa Gisela Fussi mtoto wa mwalimu Fussi.
Kwa sasa nina umri wa miaka kumi na saba na. Na nasoma kidato cha nne huyu Rashidi Mshana alikuwa mwalimu wa shule ya msingi huku Ruvuma na baadae alihama.Kwa atakayempata anipigie namba 0688071791 .
Asanteni.
Ujumbe huu nimetumia na kijana akimtafuta baba yake nikaona niweke haya maelezo hapa labda anaweza kupata msaada na sababu ya kutumiwa ujumbe ni kuwa mimi na huyo anayetafutwa tunafanana majina90% hivyo wakat dogo anatafuta waliopata maelezo wakahisi ni mm japo niligundua kuwa sio mm.
Duc in Altum