Kama mama yako aliolewa na mwanaume mwingine akachukua jukumu la kukulea huyo ndie baba yako au mwanaume yoyte aliekulea mpka kufika hapo huyo ndie baba yako wacha kupoteza nguvu zako kumtafuta biological father maana usitegemee kupata chochote Cha maana zaidi ya salamu hakuna namna unaweza fanya kwa Sasa ukapata ule upendo halisi wa baba na mtoto.
Endelea kumtafuta ila nakusihi usitarajie makubwa baada ya kuonana nae.
Hayo majina ya matiko ni ya watu wa MARA..Wengi wako KITUNDA Kwa DarIngekua vizuri ungetaja majina yake matatu, asili yake pia ni mtu wa wapi na kabila lake. hii ingesaidia kiasi chake
Wewe bhana ukimjua baba yako ni nusu ya pepoKama mama yako aliolewa na mwanaume mwingine akachukua jukumu la kukulea huyo ndie baba yako au mwanaume yoyte aliekulea mpka kufika hapo huyo ndie baba yako wacha kupoteza nguvu zako kumtafuta biological father maana usitegemee kupata chochote Cha maana zaidi ya salamu hakuna namna unaweza fanya kwa Sasa ukapata ule upendo halisi wa baba na mtoto.
Endelea kumtafuta ila nakusihi usitarajie makubwa baada ya kuonana nae.
Watu mna dharau, unamuita mtu usiyemjua dogo , usikute huyo unayemuita hivyo anakuzaa we we mara saba ..Hakuna anaekereka dogo
well saidHakuna cha ushauri konki wala nini? Tatizo mmeset negative mind, mnajua kitu kilichofanya wapotezane na mama yake? Mnakijua? Labda mama ndio alitoroka na mtoto.....
Kwetu tunasema asemaye peke yake hana haki, mpaka usikie upande wa pili. Uzuri mleta mada hajasema kitu kilichofanya wapotezane. So hatuwezi jua ni ugomvi au msukumo wa ndugu.
Nakupa mfano, mtu umempa mimba mtoto wa watu na hukumuoa. Baba yake akakasirika na kukwambia marufuku kumjua mwanawe na kiumbe kitakachozaliwa-na hii hutokea sana kwa familia tajiri mtoto wao akipewa mimba na mtoto wa masikini. Mwisho wa siku binti na mwanawe wanapotea kusikojulikana na huwezi kuwatambua tena waliko.
Je, mtoto atakayezaliwa hana haki ya kumjua baba yake?
Think.
napataje connection nao?Makao Makuu ya Jeshi.
sawa mzee, uchumi wa kati umeleta makasiriko sana miouoni mwa watu [emoji1]Daah ila watu wana stress sana yaan mtu kumtafuta baba yake kuna mwingine anakereka mara usimtafute mara hutaongeza chochote
Mzazi ni mzazi tu na kuna ile hali ya kutaka kujua baba anafananaje , ndugu zangu wengine wakoje ni vitu vinatokea vyenyew tu
Mkuu nikupongeze na kukupa moyo endelea kumtafuta mzaz wako kama walitofautian au kuna sabab zilitokea hizo ni changamoto kama zilivyo changamoto nyingine usibebe vitu vya wazaz ukarith ww
sawa bossNdugu yangu wewe endelea kumtafuta mzee wako,
Ila kwa hayo majina ya MATIKO,Nenda kitunda hivi,kama ndio surname yako,
utakuta ndgu zako tele huko..
sawa nitaleta mrejeshoIngekua vizuri ungetaja majina yake matatu, asili yake pia ni mtu wa wapi na kabila lake. hii ingesaidia kiasi chake
nitajitahidiJina Matiko hilo ni la kabila ya WAKURYA HASA wilayani TARIME mkoani MARA. Jina Matiko ni maarufu sana na hupenda kutumika katika koo mbalimbali ni sawa na kusema MASANJA ambalo hutumika sana na Wasukuma. Nakushauri ujaribu kupeleleza walau kijiji alichozaliwa, itakuwa rahisi kumpata lakini Ukisema Matiko, hapa utasumbuka sana au itachukua muda kumpata ndugu yangu.
kweli kabisa, damu ni nzitoWe bhana ukimjua baba yako ni nusu ha pepo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] huenda ni kwa sababu nimesema namtafuta "baba" so wanachkua perception ntakua dogoWatu mna dharau, unamuita mtu usiyemjua dogo , usikute huyo unayemuita hivyo anakuzaa we we mara saba ..
Kumbe unaitwa Noel Matiko na namba zako ndio hizo oky ngoja tuendelee kutafutaMambo Vipi Naitwa Noel Matiko, namtafuta baba yangu aitwaye Peter Matiko, walipotezana na mama yangu aitwaye Omega Macha maeneo ya njiro arusha miaka ya 1998
Sikuwahi kumuona ningefurahi sana kupata taarifa zake, kama akipata ujumbe huu au kwa yeyote anayejua alipo anitafute kwa simu namba 0676238390
Natanguliza shukrani!
shukran bossKumbe unaitwa Noel Matiko na namba zako ndio hizo oky ngoja tuendelee kutafuta
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mara 700 kabisaaWatu mna dharau, unamuita mtu usiyemjua dogo , usikute huyo unayemuita hivyo anakuzaa we we mara saba ..