Namshukuru Mungu (Nimezaliwa)

Mwanaume unajisifiaje urembo mbele ya dada zako....!!!!!......wonder shall never ends.....
 
Happy Birthday Paw
Mungu akupe maisha marefu yenye amani na furaha na akuongezee miaka mingine mingi sana ya kuendelea kuivuta hewa yake hii njema
Happy birthday mkuu Paw
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Paw
Natunza ndoa mama. Hapa muulize sweetlady keshaachika mara ngapi.
Nilikuwa nifungue case kama King'asti usinge tokea hapa!

Acha wivu shosti. Kumbe miss chagg ni twin wetu eh
Mh!! King`asti una mambo... Anyway Happy birthday Moderator... leo unasherehekea siku yako pamoja na Miss chagga..

Hehehe wewe ile eda haijakutosha unatafuta nyingine? Halafu ujue siku paw anaongeza mke nitakuteua uwe mke mwenza
Paw, nimesoma vizuri ila nilipokuta jina la mkeo, ndo hamu ya kuendelea kusoma ikaishia hapo hapo.

Keki leo anatusapraizi wifi AshaDii na kaka yangu Kaizer. Sijui wanapika wenyewe? Tuwe wapole
Shosti keki wapi???

Tuko wote hapa Misa neddy, tunalea. Hebu acha wivu bwana
yaan ulikuwa unasubiri asubmit uwe wa kwanza ku comment huchez mbali
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday Paw Mungu akupe maisha marefu
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Paw
Happy bday Paw japokua umekua mnoko sana siku hizi.. Unagawa ban za rejareja... Punguza kutembelea jukwaa la siasa manake kule kuna watu wanatafutia ban wenzao
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Paw
Paw
images.jpg
 
Last edited by a moderator:
Heri ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwako Paw...

Lakini Pou naomba kukuask, hivi kibodi yako haina wino mwingine zaidi ya bluu?

Au ndio masharti ya nanilihuu ili mabazazi wasikupoke mai waifu wako King'asti?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom