Teh teh..Kama unakuja na wana basi sawa..Hapo kiroho safi
Mama Msuya umenikumbusha mbali kijana.Mama msuya na kisua wapo wawili
Hahahah kuna vyuku mpendwa??Mahafali yangu kesho mpendwa..Nakualika
Teh teh..Kuku hawaliki siku hizi..Wanatanua tu barabarani kwa raha zao..Hahahah kuna vyuku mpendwa??
Teh teh..Wana watakuwa wanajilipa..sio mbaya..Hawawezi kupiga show ya bure aisee..acha wazichukue tuHahah...nikija na wana inabidi
wageni walinde simu simu na wallet hapo...
Anapojaalia na ww usome na kujiandaa vizuriWala ucjali nitakupatia tuombe mungu ajaalie[emoji4] [emoji4] [emoji4]
" kiukweli ninafuraha"Mwalimu wa kiswahili A-level kibasila ni nani?
Btw...hongera sana.