Rai Pazzy
JF-Expert Member
- Jul 6, 2015
- 493
- 186
Namshukuru mungu kwa kunifikisha siku muhimu kama ya leo
Kuna watu wengi wametamani kufika lakin wengne hawakufika kwa maradhi, kifo na kutokufuzu.
But leo wanajamiiforums nimefanya mahafali yangu ya kidato cha sita katika shule ya kibasila le.
Kiukweli ni nafuraha sana na namuomba Mungu anifanyie wepesi katika mtihani wangu wa taifa amiin.