Tatizo hutaki kuambiwa ukweli. Tatizo lako ni hilo kwani vicoba si umasikini? Utafanya nini na vicoba? labda kununua masufuria na vibakuli vya plastiki nyumbani na madela! Utalipa ada ya chuo Kikuuu, Feza schools, marian schools? Hata wewe ukipata upenyo hutajiingiza kwenye vicoba! Ni njia ya CCM kuwateka watu wakati wao wana miradi ya mabilioni, wanawatafuta .View attachment 2545586
Tangu amerudi amekuwa akitoa kejeli dhiaka na matusi kwa vijana na kina mama maskini wa kitanzania. Hata kama yeye ana pesa nyingi na amepata nafasi ya kuishi Canada kwa mgongo wa ukimbizi wa kisiasa kwa siasa alizopewa nguvu na hawa anaotukana leo basi enough is enough. Tumemchoka!
Kuna watu watakwambia Lema anasema ukweli. Sawa ni kweli bodaboda ni kazi ya kimaskini na ni hatari. Sawa mama zetu wanacheza vicoba kwa sababu ni maskini wamekimbia huduma za kibenki ambazo sio friendly kwao. So akishatusimanga hivyo what next? Watu wakiacha bodaboda waende wapi? Anasema mtoto wa Majaliwa hawezi kuwa bodaboda yeye mtoto wake ni lini alishiriki maandamano?
Kuwe na mikopo inayoeleweka na sio michezo ya vicoba. Lema yupo sawa umaskini umezidi.View attachment 2545586
Tangu amerudi amekuwa akitoa kejeli dhiaka na matusi kwa vijana na kina mama maskini wa kitanzania. Hata kama yeye ana pesa nyingi na amepata nafasi ya kuishi Canada kwa mgongo wa ukimbizi wa kisiasa kwa siasa alizopewa nguvu na hawa anaotukana leo basi enough is enough. Tumemchoka!
Kuna watu watakwambia Lema anasema ukweli. Sawa ni kweli bodaboda ni kazi ya kimaskini na ni hatari. Sawa mama zetu wanacheza vicoba kwa sababu ni maskini wamekimbia huduma za kibenki ambazo sio friendly kwao. So akishatusimanga hivyo what next? Watu wakiacha bodaboda waende wapi? Anasema mtoto wa Majaliwa hawezi kuwa bodaboda yeye mtoto wake ni lini alishiriki maandamano?
Hayupo mtanzania asiyetaka kuwa na maisha mazuri, wote tunayataka, hata hao wamama wa Vicoba nao wanayataka pia, sasa muwaambie wakiacha Vicoba waende wapi/ wafanye nini ili kuyapata hayo maisha mazuri?Tatizo hutaki kuambiwa ukweli. Tatizo lako ni hilo kwani vicoba si umasikini? Utafanya nini na vicoba? labda kununua masufuria na vibakuli vya plastiki nyumbani na madela! Utalipa ada ya chuo Kikuuu, Feza schools, marian schools? Hata wewe ukipata upenyo hutajiingiza kwenye vicoba! Ni njia ya CCM kuwateka watu wakati wao wana miradi ya mabilioni, wanawatafuta .
Lema asante kwa kutoa elimu, watu wajitambue
Relax mkuu, Mh.Lema ni politicians anayeongea ukweli sio mwongo, hata wewe unaelewa kuwa bodaboda SIO ajira ya kumfanya mtu aingie kwenye maisha ya middle class, bodaboda ni kiini macho cha wanasiasa wa Chama tawala kuficha vijana wengi wasio na ajira huko,Mh.Lema ameweka ukweli kuwa hakuna future ya maisha bora kutoka kwa ajira ya bodaboda, Nami nitakapo kuwa president kwa 24 hrs,bodaboda wote nitawaondoa kwenye public roads hasa freeways, bodaboda wanavunja sheria za freeways.
Kumbe basi kwasababu hakuna mikopo inayoeleweka ndio maana hao wamama wanafanya shughuli za Vicoba, basi mwambieni Lema badala ya kuelekeza lawama zake kwa hao wamama, kuanzia sasa azielekeze kwa serikali isiyotoa mikopo inayoeleweka kwa watu wake.Kuwe na mikopo inayoeleweka na sio michezo ya vicoba. Lema yupo sawa umaskini umezidi.
The issue is CCM should not glorify Vicoba! Itaute means za kuwawezesha wanawake kwenda juu!Hayupo mtanzania asiyetaka kuwa na maisha mazuri, wote tunayataka, hata hao wamama wa Vicoba nao wanayataka pia, sasa muwaambie wakiacha Vicoba waende wapi/ wafanye nini ili kuyapata hayo maisha mazuri?
Wewe watoto wako wanasoma Feza? Hujui kuwa bodaboda wengi tu wanasomesha watoto English medium schools? Hata madaktari na mainjini hawana uwezo wa kusomesha watoto Feza.Tatizo hutaki kuambiwa ukweli. Tatizo lako ni hilo kwani vicoba si umasikini? Utafanya nini na vicoba? labda kununua masufuria na vibakuli vya plastiki nyumbani na madela! Utalipa ada ya chuo Kikuuu, Feza schools, marian schools? Hata wewe ukipata upenyo hutajiingiza kwenye vicoba! Ni njia ya CCM kuwateka watu wakati wao wana miradi ya mabilioni, wanawatafuta .
Lema asante kwa kutoa elimu, watu wajitambue