Namshangaa mume wangu kugoma kunipa unyumba

Namshangaa mume wangu kugoma kunipa unyumba

Siwapendi hao watu jmn ni kujidharirisha tu bora uwe na mtu wa maana hata ukifumaniwa isiwe aibu

Mtu huyo wa maana hakikisha kuwa anakaa karibu sana na wewe. Usiwe na kawaida ya kwenda kwake wala guest. Huko ndo mashakani daima. Ndo maana nakuambia mlinzi au shamba boy. Huna haja ya kuogeshwa naye bali kukunwa tu mpaka kilele. Mtu wa maana kwani wataka kuolewa naye?
 
Sema niko na tumbo kubwa otherwise hata humu msingeniona humu ndan coz my ex bado ananipenda ningemuomba tu anisitili coz ananijua zaid
Basi Labda Hilo Tumbo Ndio Sababu Ya Hayo Yote Kama Vipi Lifanyie Kazi Jambo Hilo.
 
Mtu huyo wa maana hakikisha kuwa anakaa karibu sana na wewe. Usiwe na kawaida ya kwenda kwake wala guest. Huko ndo mashakani daima. Ndo maana nakuambia mlinzi au shamba boy. Huna haja ya kuogeshwa naye bali kukunwa tu mpaka kilele. Mtu wa maana kwani wataka kuolewa naye?
Yaan wanavyonuka vile du siwezi kuwapenda wala kuvutiwa nao
 
kumbe wanawake mnaombaga unyumba ndo kwanza leo naskia
 
We mwongo, hakuna mwanamme anaeweza kulala kitanda kimoja na mwanamke miezi miwili bila kunaniliii, hata Kama wamekosana, pia hakuna kosa linalosameheka analoweza kaa nalo mwanamume miezi miwili, labda ugonjwa uingilie kati.
Wengi Wapo unajua migogoro ya ndoa au unasema tu
 
Yaan wanavyonuka vile du siwezi kuwapenda wala kuvutiwa nao

Naona umejibu kabla ya kuielewa thread yangu. Nimekuambia, jitafutie wewe mwenyewe ka-serengeti kako, ukafundishe halafu ukaweke mlangoni kuwa mlinzi wa nyumba kumbe ni ili uwe karibu naye.
Mtafute huyo mwanamume wewe mwenyewe awe akikaa hapo hapo home kwako umwambie ajifanye mhitaji saana kumbe gea yenyu wawili ili mr asigundue.
 
Inakuwaje mume wako wa ndoa anakunyima unyumba yapata miez miwili au wakAti mwingine mwezi mmoja. Hata ukambembeleza anakataa. Je nifanyeje. Nataka niachane naye asije niletea matatizo.ushauri please
[emoji121]
WAKUU

MBONA KAMA KUNA INDIRECT ADVERTISEMENT HAPA??
 
Naona umejibu kabla ya kuielewa thread yangu. Nimekuambia, jitafutie wewe mwenyewe ka-serengeti kako, ukafundishe halafu ukaweke mlangoni kuwa mlinzi wa nyumba kumbe ni ili uwe karibu naye.
Mtafute huyo mwanamume wewe mwenyewe awe akikaa hapo hapo home kwako umwambie ajifanye mhitaji saana kumbe gea yenyu wawili ili mr asigundue.
Njoo wewe basi km utaweza mhhhh
 
Inakuwaje mume wako wa ndoa anakunyima unyumba yapata miez miwili au wakAti mwingine mwezi mmoja. Hata ukambembeleza anakataa. Je nifanyeje. Nataka niachane naye asije niletea matatizo.ushauri please
Daaah atakama anakula kwingine mwanaume akatai ila anachokaaa bas kati ya hivi auna mvuto anakula kwingine au jogoo apandi so take care ujue n kipi kina msumbua ili uweke msawazo
 
Itukuwa na wewe ulikuwa unamnyima, hivyo kapotezea. Kumbuka usimtendee mwenzio kile ambacho hupendi kufanyiwa.
 
Nina miaka naye mitano sasa ni amekuwa mtu wa kununa sana jmn kaaa anarudi kila siku saa nne
Kuna mahali kabanwa na vise kwako kashakuzalisha sasa kapata kitu kipya kwako anaona anapoteza muda
 
Sema niko na tumbo kubwa otherwise hata humu msingeniona humu ndan coz my ex bado ananipenda ningemuomba tu anisitili coz ananijua zaid

hyo ndo sababu, we umejuaje ex anakupenda??? still mko pamoja kimawasiliano..??? naona unaelekea kuvynja ndoa yako kwa mikono yako. kama hyo miez miwil unawaza usaliti, wenzako wanakaa miaka hawafkirii as far wanalea..
 
Inakuwaje mume wako wa ndoa anakunyima unyumba yapata miez miwili au wakAti mwingine mwezi mmoja. Hata ukambembeleza anakataa. Je nifanyeje. Nataka niachane naye asije niletea matatizo.ushauri please
Mi nimeona umetoa tu outcome, lete source tukushauri ipasavyo..
 
cha msingi mvumilie mumeo yawezekana hali yako ya ujauzito haimvutii?/ kama ninyi mda mwungne mnavyokuwa hamuwapend waume zenu mkiwa kwenye hyo hali... mvumilie tuuuu na kaa ongea naye kwa upole, mfanyie surprise cku moja, andaa chumba vuzuri, weka ubani, madikodiko, etc den atakupa attention tu, usifanye jino kwa jino utaumia ww na mwisho wa sku we ndo utakua kituko..
 
Yaani anakubania u-house hivi hivi,jamaani,sasa sijui atakuwa anamalizia wapi haja zake
 
Hapo kuna kitu haiwezekani akunyime unyumba bila sababu hebu kuwa muwazi
 
Back
Top Bottom