Namshangaa mume wangu kugoma kunipa unyumba

Hyooo mbunyee ni safiii auu unamlaumuu tuu? Harufuu ya ileee kituu nibalaaaaa
 
Kaa uongee nae kama tatizo ni wewe! Anaweza akawa anachanganyikiwa na mchepuko. Seduce him kama vipi
Kazi yoote hiyo ya kum seduce ya nn? Kama hataki na wewe potezea tu! Tena ji keep busy chat usiku Cheka Cheka hadi akuulize na akikuuliza mpasulie ukweli tu hamna namna
 
Unadhani mim mtawa au padre km ww au
Mimi sio padre wala mtawa, hujajua kuna shida gani lakini unachukua maamuzi makubwa ya kuchepuka, tena ukiwa mjamzito.

Usichepuke, ongea nae ujue kuna shida gani, labda huo ujauzito umemfanya asivutiwe na wewe, ameamua kuuchuna tu, zaweza kuwa sababu zingine. Muhimu ni kuongea ili kujua shida iko wapi.
 
Nina miaka naye mitano sasa ni amekuwa mtu wa kununa sana jmn kaaa anarudi kila siku saa nne
Ugonjwa wa kununa ni janga la wanawaume wengi sana wa sasa! Hizi ni tabia za kike sana haifai hivi kichwa ni nani ndani ya nyumba? Sasa kichwa kikigoma kufungua mdomo si mwili (nyumba nzima) mzima unakua shakani!? Wanaume wa siku hzi sijui mmepatwa na nini, au kwa kuwa tunapaka poda na Lotion wote basi na kununa tunune wote, hapana Mi shemeji yenu akinuna sijisumbui nakua busy JF nacheka post za watu tu hata kama hazichekeshi, alafu nanyanyuka naiacha simu hapo nikirudi namkuta anaichungulia na kuendelea kununa yaani hadi atanisemesha mwenyewee
 
Kama Yeye Kasusa Basi Kama Vipi Nipe Mimi.
 
Mimi sio padre wala mtawa, hujajua kuna shida gani lakini unachukua maamuzi makubwa ya kuchepuka, tena ukiwa mjamzito.

Usichepuke, ongea nae ujue kuna shida gani, labda huo ujauzito umemfanya asivutiwe na wewe, ameamua kuuchuna tu, zaweza kuwa sababu zingine. Muhimu ni kuongea ili kujua shida iko wapi.
Alafu kuna watu wana bahati wake zao wakiwa wajawazito bado wanawataka, mimi mimba zangu zoote zinamkataa mume wangu sijui kwa sababu Mara zote mbili nimezaa madume au vipi ila kiufupi nikiwa mjamzito natural body smell yake inanipa matatizo sana yaani kila mtu shuka lake kugusana Mara chache chache sana, sure asichepuke ila atafute namna ya Ku sort out tatizo lake maana atapokwenda kuchepukia hajui atakutana na magonjwa n.k akamuathiri mtoto
 
Mimi sio padre wala mtawa, hujajua kuna shida gani lakini unachukua maamuzi makubwa ya kuchepuka, tena ukiwa mjamzito.

Usichepuke, ongea nae ujue kuna shida gani, labda huo ujauzito umemfanya asivutiwe na wewe, ameamua kuuchuna tu, zaweza kuwa sababu zingine. Muhimu ni kuongea ili kujua shida iko wapi.
Yaan hata nikihangaika kitandan mara nikae mara nipige magot hashtuki then mseme wanawake wabaya ktk kipind cha ujauzito mwanaume lazima umtake care mkeo hata mtt akizaliwa awe na furaha. Jaman hata simu anipigiii akija usiku habar za mtt anamuulizia dada wkt mim nipo hapo. Yaan huyu nitakuja kumuumiza asitaman tena mwanamke. Naomba nijifungue salama tu
 
Naona umeshafanya maamuzi, kila lenye heri!!
 
Hana hata gono ila naye ni dictator tu sema nikichepuka najua nitaharibu nyumba kwani nitaconcetrate nje zaid na nitamdharau had atanishtukia but namvutia subira tu .

Leta mlinzi au shamba boy. Awe ndiye wa kukusuuza tu achana na mijitu ya hali ya juu haiwezi ficha siri. Hboy uwe ukimdharau kila siku mbele ya jamaa ila baadaye umpigie goti na kumwmba msamaha. Nakuambia hutajulikana
 
Yaan hata nikihangaika kitandan mara nikae mara nipige magot hashtuki then mseme wanawake wabaya ktk kipind cha ujauzito mwanaume lazima umtake care mkeo hata mtt akizaliwa awe na furaha. Jaman hata simu anipigiii akija usiku habar za mtt anamuulizia dada wkt mim nipo hapo. Yaan huyu nitakuja kumuumiza asitaman tena mwanamke. Naomba nijifungue salama tu
Hahahahhahaaaa InshaAllah utajifungua salama mama, utuletee mrejesho Mara baada ya kumuachisha ziwa mwanetu
 
Leta mlinzi au shamba boy. Awe ndiye wa kukusuuza tu achana na mijitu ya hali ya juu haiwezi ficha siri. Hboy uwe ukimdharau kila siku mbele ya jamaa ila baadaye umpigie goti na kumwmba msamaha. Nakuambia hutajulikana
Siwapendi hao watu jmn ni kujidharirisha tu bora uwe na mtu wa maana hata ukifumaniwa isiwe aibu
 
Bhasi ongea nae upate kujua tatizo likowapi
 
Mume wako kabisa wa ndoa?hata week naona ni mda mrefu sana hapo kuna shida si bure
 
Back
Top Bottom