Paul Buchira
R I P
- Aug 5, 2013
- 1,043
- 567
Nisamehe kwa kufikisha ujumbe kwa kuandika vibaya niko safari mitetemo ya gari vidole inateleza.nilitaman niwasilishe
Hilo swali nafikiri ni la kujiuliza nyinyi wanaume kutokana na hii thread, binafsi sipendi tabia za kununa, ila ukinuna mbona Buyu tutakuna hasaa,ila pia iyo Tania ya kununa wanaume wa kileo mmeitoa wapi?nini maana ya kuwa mwanaume sasa? Maana kama unashindwa kuhimili vishindo vya mkeo utaweza kweli kukabiliana na ya Dunia ?? Mbadilike jamani kha?Sasa sometimes kama mwanamke ndo desturi yake kukununia mwanaume ufanyeje labda, usimfanyie mtu kitu ambacho hupendi kufanyiwa, mm demu wangu akinilia buyu na mm buyu hata likiwa buyu la forever mm poa tu mpaka anarudi mwenyewe LadyAJ
Acha kumshauri mwenzio akili chafu hizo!!Mikono unayo, vidole unavyo unashindwa vpi kujipooza mwenyewe? Ukitegemea kukunwa na mtu mwingine wakati na wewe vidole unavyo utaumia roho tu. Nunua vibrator kwa raha zako
nina wasiwasi na madai yako,nijuavyo mimi mwanamke ndiye anayempa mumewe unyumba na sio mwanaume kumpa mkewe unyumbaInakuwaje mume wako wa ndoa anakunyima unyumba yapata miez miwili au wakAti mwingine mwezi mmoja. Hata ukambembeleza anakataa. Je nifanyeje. Nataka niachane naye asije niletea matatizo.ushauri please
Kwa nini ni akili chafu sister? Kujipa raha mwenyewe tatizo liko wapi wakati mwenzio anaugulia maumivu ya moyo na mwili?Acha kumshauri mwenzio akili chafu hizo!!
Watu kama nyie Mbona kunakitu kinaitwa makapuku au ujakionaKwa nini ni akili chafu sister? Kujipa raha mwenyewe tatizo liko wapi wakati mwenzio anaugulia maumivu ya moyo na mwili?
Yeye ni nani.....Hana hata gono ila naye ni dictator tu sema nikichepuka najua nitaharibu nyumba kwani nitaconcetrate nje zaid na nitamdharau had atanishtukia but namvutia subira tu .
Mimi najaribu kutoa ushauri tu kwa dada hapo jinsi ya kutatua tatizo lake. She is horny lakini mume hana time nae kwa hiyo anahitaji attention kutoka kwa mumewe lakini pia anahitaji kukata kiu yake ya mapenzi. Akiamua kujipooza mwenyewe wakati anasubiria mume arudi kwenye mstari tatizo liko wapi? Hii sio kwa ajili ya makapuku ni kwa wote.Watu kama nyie Mbona kunakitu kinaitwa makapuku au ujakiona
Basbasbas Inatosha!!!!Mimi najaribu kutoa ushauri tu kwa dada hapo jinsi ya kutatua tatizo lake. She is horny lakini mume hana time nae kwa hiyo anahitaji attention kutoka kwa mumewe lakini pia anahitaji kukata kiu yake ya mapenzi. Akiamua kujipooza mwenyewe wakati anasubiria mume arudi kwenye mstari tatizo liko wapi? Hii sio kwa ajili ya makapuku ni kwa wote.
Kuna wanaume anaweza kuta k inanuka ila hata mwambia zaidi ya kumpotezea tu, kama hajaambiwa inamaanisha hata yeye hawezi kujua,.lakini kama anaweza kujisugua ikulu yake mwenyewe kama kuna harufu ambayo sio atagundua tu na kurekebisha.
Kwaiyo tiba ya maumivu ni hayo ma punch unayomshauri? Hayo ma vibrator ili anyambue nyama za uchi? Michezo ya hatari sana hiyo si ya kumshauri mtu labda kama humpendi, kama wewe unatumia hayo ma toy acha Mara moja maana madhara yake utayoyapata ni bora ungejimwagia maji moto upunguze nyege kuliko hayo ma vibrator na zaidi ya yote wengine lile tendo ni hatua ya mwisho kabisa wengi wetu huvutiwa na Romance hebu niambie wewe mwanamke au mwanaume kwa kutumia njia hizo iyo Romance utaitoa wapi? Mdogo wangu kushiriki mapenzi ya kujiridhisha mwenyewe ni Laana KumKwa nini ni akili chafu sister? Kujipa raha mwenyewe tatizo liko wapi wakati mwenzio anaugulia maumivu ya moyo na mwili?
Iyo K' imeanza kunuka leo? Ushaambiwa wana mtoto/watoto wengine na sasa wanatarajia kupata mtoto mwingine! Watu mmejaa laana sana kwaiyo Mungu aliagiza Mwanandoa akinyimwa unyumba na mwenzie basi ajisugue mpka mwenzie atapojisikia!? Wewe una laana sio bure na kama unajisaga au kuji puli nakushauri uache kwani haina maana yoyote zaidi ya kukunyambua nyama za uke, kukuondolea hisia ya viungo harisi vya mwenzi wako, sasa utakua na haja gani ya kuolewa? Tatizo la shemeji ni kujitia ana nuna sasa kinachomnunisha nacho kinahitaji Toy LA kumsugua acheke au kinachohitajika ni yeye kukaa na mkewe aseme tatizo lake ni nini mpka anagomea kumpa unyumba mkewe, hata jogoo akiwa hawiki muwe mnasema tu coz muda mwingine waweza mpa mkeo Romance akaridhika bila shughuli yenyeweMimi najaribu kutoa ushauri tu kwa dada hapo jinsi ya kutatua tatizo lake. She is horny lakini mume hana time nae kwa hiyo anahitaji attention kutoka kwa mumewe lakini pia anahitaji kukata kiu yake ya mapenzi. Akiamua kujipooza mwenyewe wakati anasubiria mume arudi kwenye mstari tatizo liko wapi? Hii sio kwa ajili ya makapuku ni kwa wote.
Kuna wanaume anaweza kuta k inanuka ila hata mwambia zaidi ya kumpotezea tu, kama hajaambiwa inamaanisha hata yeye hawezi kujua,.lakini kama anaweza kujisugua ikulu yake mwenyewe kama kuna harufu ambayo sio atagundua tu na kurekebisha.
Sister mbona unakua mkali hivyo? Hiyo laana itoke wapi? Kwa nani? Hili ni jukwaa huru ndiyo maana kila mtu anatoa ushauri japo ni jukumu la mhusika kuamua afanye nini,,. Masturbation haieleweki,kukomaza uke na pia haiondoi hisia kwa mwenzi wake japo waafrika wengi tuna negative perception kuhusu hiyo kitu.Iyo K' imeanza kunuka leo? Ushaambiwa wana mtoto/watoto wengine na sasa wanatarajia kupata mtoto mwingine! Watu mmejaa laana sana kwaiyo Mungu aliagiza Mwanandoa akinyimwa unyumba na mwenzie basi ajisugue mpka mwenzie atapojisikia!? Wewe una laana sio bure na kama unajisaga au kuji puli nakushauri uache kwani haina maana yoyote zaidi ya kukunyambua nyama za uke, kukuondolea hisia ya viungo harisi vya mwenzi wako, sasa utakua na haja gani ya kuolewa? Tatizo la shemeji ni kujitia ana nuna sasa kinachomnunisha nacho kinahitaji Toy LA kumsugua acheke au kinachohitajika ni yeye kukaa na mkewe aseme tatizo lake ni nini mpka anagomea kumpa unyumba mkewe, hata jogoo akiwa hawiki muwe mnasema tu coz muda mwingine waweza mpa mkeo Romance akaridhika bila shughuli yenyewe
Usisaha kumwambia huenda yeye Jeuri au very demanding au commanding wife.Kuna mambo meeengi yanaweza kuwa chanzo
Michepuko
Gubu
Usafi wa mwili wako
Jogoo kutokupanda mtungi
. Nk kaa naye muulize
MAYBE Atakuwa ana mtu mwingine..hvyo haoni mvuto kwako. Kuna wengine hata zaidi ya mwaka..Nina miaka naye mitano sasa ni amekuwa mtu wa kununa sana jmn kaaa anarudi kila siku saa nne
Wengine wananuka ndio maana mtu anakaa miezi miwili hapigiTehe tehe! Wapo usiseme wanaume wore ni marijali. Tupo wanawake wengi tunaovilia hizo shida.
Pole rafiki vumilia na jiweke bize na kazi.