strong ruler
JF-Expert Member
- Nov 2, 2013
- 4,919
- 3,313
Na wewe mnyimee
Inakuwaje mume wako wa ndoa anakunyima unyumba yapata miez miwili au wakAti mwingine mwezi mmoja. Hata ukambembeleza anakataa. Je nifanyeje. Nataka niachane naye asije niletea matatizo.ushauri please
Tatizo labda itakuwa kwakuwa wewe ni yondosister a.k.a kimbaumbau nayeye anataka big booty.Inakuwaje mume wako wa ndoa anakunyima unyumba yapata miez miwili au wakAti mwingine mwezi mmoja. Hata ukambembeleza anakataa. Je nifanyeje. Nataka niachane naye asije niletea matatizo.ushauri please
Nyie wanawake wa kiwanyima unyumba mnasema maneno yote mabaya juu yake lakini nyie mkiwanyima mnasema utakuwa huna mvuto[emoji17].Kuweni fairinawezekana huna mvuto kwake....pia huenda anakusaliti anakula kwa jirani
Yawezekana anahisi hiyo tumbo ni ya ex wako(maana bado mnarelationship), usishangae akikutaka kwenda kupima DNA baada ya kujifungua
Kuwa na hisia ni ruksa si binadamu bwana hata ww unahisi au unahisiwa vibaya sooo mawazo mgando hayo ruksaYawezekana anahisi hiyo tumbo ni ya ex wako(maana bado mnarelationship), usishangae akikutaka kwenda kupima DNA baada ya kujifungua
Ahsante kwa ushauriMwanaume kwa mwanamke hana ujanja.hebu FANYA hivi.jiweke kihasara hasara Ndani ya nyumba usivae mango mazito .km jinzi.hayo mawigi unayovaa kichwani vua,weka natural hair sisi wengine huwa tunasikia km harufu ya nyoka au panya mfu kwa hayo mawigi.tafuta perfume Kali sana ,pia pukizia kitu udi wa umangani Ndani ya CHUMBA.bila kusahau kupika chakula kizuri.maana kuna wadada hawa wa karne hii kupika kwo ni mtihani.kama hujui pika tafuta mpishi akupikie msosi mzuri.sisi wengine huwa hamu zetu za wanawake mpk mwanamke ajiandae kweli.ukiwa unakaa naye ndani hata stories za mahaba Ndani hamna ni shida kudindisha.pia acha kumpa mashtaka ya kila unachokisia mtaani hisia ya tendo huwaga inaondoka ghafla kwa kusikia makesi haya na yale kilaa siku Ndani ya nyumba za kupanga.acha umbea mwanamke hausaidii .
Ukifanya haya ukiona.bado mfuatilie pengine ana kidada nje .km hana kidada atakuwa amerogwa nenda kwenye maombi au hospitali
MATATIZO GANI SASA?Inakuwaje mume wako wa ndoa anakunyima unyumba yapata miez miwili au wakAti mwingine mwezi mmoja. Hata ukambembeleza anakataa. Je nifanyeje. Nataka niachane naye asije niletea matatizo.ushauri please
my dear hivi wale wanaume wanaoletaga hadi wanawake wengine ndani kwenye vitanda vyao na kisha kumshusha mke wake hujawahi kuwasikia sasa mtu mpaka afikie hapo inakuwa si wanaanzia kulala mzungu wa 4 kisha akiona umekomaa huondoko anamleta kabisa ndani aisee ndoa ni ngumu sana yaani kuungana na mtu mwenye akili zake zinazowaza kivyake kalelewa kivyake nani shida saanaWe mwongo, hakuna mwanamme anaeweza kulala kitanda kimoja na mwanamke miezi miwili bila kunaniliii, hata Kama wamekosana, pia hakuna kosa linalosameheka analoweza kaa nalo mwanamume miezi miwili, labda ugonjwa uingilie kati.
We mwongo, hakuna mwanamme anaeweza kulala kitanda kimoja na mwanamke miezi miwili bila kunaniliii, hata Kama wamekosana, pia hakuna kosa linalosameheka analoweza kaa nalo mwanamume miezi miwili, labda ugonjwa uingilie kati.
Hiv wew unaweza ukakaa na mkeo one year usimnunulie hata underwear then kwa nn asikumbuke alikotoka hee au unataka nan atoe huduma. Me namkumbuka my x kwasababu tu huyu hajali familia yake basi au ulitaka nikuwaze weweWewe unamatatizo tena makubwa, halafu naona bado hujajitambua nafasi uliyonayo kwa sasa, huwezi kuwa ex wako bado anakupenda hali ukijua uko na mume wako. Kama bado mawazo ya wewe yako kwa yule wa zamani hadi leo, kwa nini ulimkubali huyu uliye naye? Kwa nini usingebaki na huyo ex wako akawa mmeo. Na hiyo ndio sababu ndoa yako inanyufa, pendo lako umeligawa pande mbili.
Na usipochukua hatua za makusudi kujirekebisha ndoa yako hiyo utaivunja kwa mikono yako mwenyewe!
Kwanza kuachana na na xwako ni ugomvi no tena anaweza akawa na ushaur mzur na msaada mzur kuliko hata mumeo na akakutoa aibu kuliko hata mumeo utu ni jinsi mtu alivyolelewa siyo muda wote kuwaza sex tu na x wako . Sex ni hadi pale mtu anapoamua ndio maana mtu anaweza sex na kichaa just mind set yake. So siyo kila mtu akiwasiliana na x wake eti wanamahusiano no funguka dogo acha visingizio.Wewe unamatatizo tena makubwa, halafu naona bado hujajitambua nafasi uliyonayo kwa sasa, huwezi kuwa ex wako bado anakupenda hali ukijua uko na mume wako. Kama bado mawazo ya wewe yako kwa yule wa zamani hadi leo, kwa nini ulimkubali huyu uliye naye? Kwa nini usingebaki na huyo ex wako akawa mmeo. Na hiyo ndio sababu ndoa yako inanyufa, pendo lako umeligawa pande mbili.
Na usipochukua hatua za makusudi kujirekebisha ndoa yako hiyo utaivunja kwa mikono yako mwenyewe!