Namshangaa mume wangu kugoma kunipa unyumba

Namshangaa mume wangu kugoma kunipa unyumba

Yawez ikawa hunyoi, harufu mbayaa, uko rough, hujui kuvaa yan lichafu lichafu.

Aaargh hata mm ukiwa hvyo miaka buku sikugongi.

Zingatia usafi wa mwili na bedroom yenu.
 
Hilo jina tu la yondosister linahalilisha wewe kunyimwa unyumba. kutakuwa na namna unamkera huyo jamaa na alishakukanya hutaki kusikia unaendeleza uyondosister du wako. Utakula jeuri yako.

Jichunguze kwanza wewe mwenyewe kabla haujamlalamikia mwenzio
 
Hata km sina mvuto si anipe hela niende shopping na saloon hakuna mke mbaya matunzo tu
Jiangalie huko kichwani na mdomon mwako, ndoa sio kwenda salon na shopping mummy.

Wanaume tunakereka sana na vitabia vya ajabu ajabu hadi unaona kero hata kukaa nyumbani. Mfano makelele au kutomuheshimu.
 
Hakuna mwanaume anaweza kususia kugegeda bila sababu...wewe kuna kitu unakifanya na mumeo hakimpendezi na akaona hana namna nyingine ya kukuadhibu bali ni kukataa papuchi yako mpaka ujirekebishe.
 
Alikuja angaza kupima tukakuta HIV positive anaogopa asije kukupa na wewe
 
Mpunga unajua kuna kipindi na kipindi sasa mim nina ujauzito nitafanyîwaje hivyo lazima anichukulie ktk har yangu kwa nin azabu yake ananinyima haki yangu
Tatizo kapoteza mzuka na ujauzito ulionao,inawezekana hana elimu juu ya mtu mwenye ujauzito anaweza pigwa kick,ndo maana anakupotezeeeeea!!
 
Back
Top Bottom