Namshangaa mume wangu kugoma kunipa unyumba

Namshangaa mume wangu kugoma kunipa unyumba

yondosister;
Yawezekana amepatwa na gono nje huko hivyo sasa yupo kwenye dozi. Pili, waweza kuwa kikwazo kwake. Mara ya mwisho kukufurahia yawezekana ulimwambia neno likamkera. Labda yawezekana hakukufikisha kilele ukamwambia neno la kukera ka vile; Hata wanaume we haupo etc. Jua kama alikuwa na stress flani ukaongezea hilo au labda ulimwambia asikuchafue huku hakutoshelezi, ni maneno wayasemayo majimama kwa wanaume zao haswa wakiwa na hasira nao. Inategemea kwani hilo neno alikuwa hajawahi lisikia kwako hata mara moja.
Huwa linampa stress kila akikukaribia. Dawa ni kuongea naye taratibu na kumwomba radhi atarudia nguvu yake. Wanaume ni wa kubembelezwa siku hizi. Ukiniletea huu nasepa wala siendi mbali, mlango wa pili tu hapo.
Hana hata gono ila naye ni dictator tu sema nikichepuka najua nitaharibu nyumba kwani nitaconcetrate nje zaid na nitamdharau had atanishtukia but namvutia subira tu .
 
Asije kukuletea matatzo gan. Sasa
 
Inakuwaje mume wako wa ndoa anakunyima unyumba yapata miez miwili au wakAti mwingine mwezi mmoja. Hata ukambembeleza anakataa. Je nifanyeje. Nataka niachane naye asije niletea matatizo.ushauri please
Wanasaikolojia husema ukiona mtu mzima anaeleza matatizo yake
Bas yapasa kumuomba akueleze chanzo cha tatizo lake
Haya mdada hebu tujuze kulikon akunyime kutafuna mua kipind rambo yako haina maganda?
 
Kuna kitu kama hakiko sawa ktk huu uzi.yaani kama umeweza kujiunga humu jf halafu unashindwa kujiongeza nini suruhu ya hii kitu?
 
Inakuwaje mume wako wa ndoa anakunyima unyumba yapata miez miwili au wakAti mwingine mwezi mmoja. Hata ukambembeleza anakataa. Je nifanyeje. Nataka niachane naye asije niletea matatizo.ushauri please
Inawezekana chanzo cha tatizo ni wewe japo hujakieleza, labda kapata fununu unachepuka imebidi ajiweke pembeni ili uendelee na mchepuko wako.
 
Kuna mengi hujayaelezea. Lazima kuna sababu
 
Kaa uongee nae kama tatizo ni wewe! Anaweza akawa anachanganyikiwa na mchepuko. Seduce him kama vipi
 
Unyumba ni maandaliz lazma utengeneze mazingira kwanza akirudi jion muandalie chakula,maji ya kuoga piga nae story na jaribu pia kuvaa mavaz ambayo yatamvutia muda huo na sisi wanaume nikiumbe dhaifu tukiona tu unakuta hisia znakuja hapo hapo tengeneza mazingira vinginevyo utasaidiwa
Kuna wanaume ni jeuri tu, hata umbembe mgongoni kusaidiwa ni lazima
 
N
Hana hata gono ila naye ni dictator tu sema nikichepuka najua nitaharibu nyumba kwani nitaconcetrate nje zaid na nitamdharau had atanishtukia but namvutia subira tu .
Ni dictator km nani?? Utakua ushachepuka alafu kastukia inshu ila anaona asikuambie aone utafanyeje
 
Back
Top Bottom