Namshangaa mume wangu kugoma kunipa unyumba

Namshangaa mume wangu kugoma kunipa unyumba

Inakuwaje mume wako wa ndoa anakunyima unyumba yapata miez miwili au wakAti mwingine mwezi mmoja. Hata ukambembeleza anakataa. Je nifanyeje. Nataka niachane naye asije niletea matatizo.ushauri please
Apo kuna mawili either kuna vijitabia amesikia unavyo ambavyo anafikiri akishiriki na wewe izi ishu utamuua ama ana mchepuko unampa bichwa uko nje

Chunguza af chagua moja ama yote alafu chukua hatua
Sema kuachana sikushauri mana naskia wanaume ni wachache LOL
 
Kuna mambo meeengi yanaweza kuwa chanzo
Michepuko
Gubu
Usafi wa mwili wako
Jogoo kutokupanda mtungi
. Nk kaa naye muulize
Mpunga unajua kuna kipindi na kipindi sasa mim nina ujauzito nitafanyîwaje hivyo lazima anichukulie ktk har yangu kwa nin azabu yake ananinyima haki yangu
 
We mwongo, hakuna mwanamme anaeweza kulala kitanda kimoja na mwanamke miezi miwili bila kunaniliii, hata Kama wamekosana, pia hakuna kosa linalosameheka analoweza kaa nalo mwanamume miezi miwili, labda ugonjwa uingilie kati.
Pakay ni kweli kabisa tena analala na track na kujifunika shuka lake hata nikamwombaje analala kifudifudi hata ukamshikaje anajibu pumzika
 
Wengine wanaomba ratiba, kumbe kuna wengine wana ukame!!
Haya mambo bwana!
 
Tena cha kushangaa zaidi hata nikatofautiana na ndugu yake haniulizi wala nini daima adhabu yangu kuu ni kununiwa na kunyimwa unyumba tena siyo wiki mbil au moja esabia mwezi au miez kadhaaa. Nataman sn tuachane but namuonea huruma mwanangu
 
Nina miaka naye mitano sasa ni amekuwa mtu wa kununa sana jmn kaaa anarudi kila siku saa nne

yondosister;
Yawezekana amepatwa na gono nje huko hivyo sasa yupo kwenye dozi. Pili, waweza kuwa kikwazo kwake. Mara ya mwisho kukufurahia yawezekana ulimwambia neno likamkera. Labda yawezekana hakukufikisha kilele ukamwambia neno la kukera ka vile; Hata wanaume we haupo etc. Jua kama alikuwa na stress flani ukaongezea hilo au labda ulimwambia asikuchafue huku hakutoshelezi, ni maneno wayasemayo majimama kwa wanaume zao haswa wakiwa na hasira nao. Inategemea kwani hilo neno alikuwa hajawahi lisikia kwako hata mara moja.
Huwa linampa stress kila akikukaribia. Dawa ni kuongea naye taratibu na kumwomba radhi atarudia nguvu yake. Wanaume ni wa kubembelezwa siku hizi. Ukiniletea huu nasepa wala siendi mbali, mlango wa pili tu hapo.
 
Back
Top Bottom