Nampongeza Rais Samia kwa kukubali kuwa Mkuu wa Machifu Tanzania

CCM na wachumia tumbo wa serikalini wameamua kuwadhalilisha - kuwapa chief mwanamke na ambaye si wajamii yenu 'kabila lenu'

Kupewa kiongozi wa kimila ambaye si wa jamii yako ni kama kuwa utumwani
Wasenge hao, hamna lolote
 
Ati Chifu wa Tanzania nzima! stupid

Yaani Mmasai, Mkurya, Mhaya, Mgogo, Mnyakyusa, nk aongozwe na mtu (chief) ambaye si wakabila lake!?! what a joke

Kila kabila chief ni wa kabila husika

Huyo bibi atakuwa chief wa kule kwao makunduchi (Zanzibar)
Wewe ni nani wa kuwabishia MACHIFU WA MAKABILA ZAIDI YA 100 WA TAIFA HILI?!!!

Hao machifu wa Wahaya ,Wagogo ,Wamasai ,Wakurya na Wanyakyusa walikuwa ni miongoni mwa machifu hao 100.....

#AdumuMileleChifuMkuuHangaya
#SiempreJMT
#NchiKwanza
#UtiiUsioteterekaKwaChifuMkuuHangaya
 
Baba wa taifa mwalimu Julius Kambalage Nyerere yeye baada ya kupata uhuru alifuta uchifu hapa Tanganyika na Zanzibar lakini leo mama anarudisa historia ya utawala wa kiasili wa babu zetu.

Chifudom na kingdom ndiyo walikuwa viongozi wa siasa hapa Tanganyika na Afrika kwa tendo hili mimi nampa biG apu mama kwa kuonyesha kuwa anauwelewa mkubwa kwani kama ujui ulikotoka uwezi kujua unakokwenda.

Kuwakubali machifu ni kuenzi mila na tamaduni zetu za kiafrika hivyo mama amefanya jambo kubwa na la kihistoria, Machif walisimamia mambo yote kabla ya kuja wageni kutoka Ulapa na Arabia yakiwemo ya kijamii kama mdoa, vyakula, ibada, maombi, heshima, uzalendo, dawa na mengine mengi.

Na sayantifiki profu kuwa babu zetu walikuwa na Mungu nyuma 1900 kurudi nyuma babu zetu waliishi miaka ya kawaida 150 kuendelea.

Kwani hata kama angekataa si mngekuwa hapa hapa mkisifia kwa mapambio haya haya?

Kwani hata akitaka kuwafanya nini mtakataa?
 
Mwami Tereza Ntare.....

Kigoma moja hiyooooooo......

#SiempreChifuMkuuHangaya

Pamoja na kuwa hata kama angeitwa Mh. Mungu haisaidii si haba basi mkafanya japo viutafiti kidogo?

Mwami = Mfalme.

Unamaana Kigoma waliwahi kuwa na Mfalme kwa jina la Tereza Ntare?!

Habari za kubumba bumba namna hii zisizokuwa na kichwa wala miguu si mngekuwa mnabaki nazo huko Chatto na sana sana Makunduchi?

Huku tuko busy kuhamasisha watu wapate J&J na kudai katiba mpya.

Ya Mfalme mama na sisi wapi na wapi?
 
Kwa kigezo kipi? huyo atabaki kuwa chief wa Tanzania wa kabila lao,wi stili bilivu wi bilong tu chifu "MWENE" Kwetu sisi wakimbu from CHUNYA
 
Pamoja na kuwa hata kama angeitwa Mh. Mungu haisaidii si haba basi mkafanya japo vinutafiti kidogo?

Mwami = Mfalme.

Unamaana Kigoma waliwahi kuwa na Mfalme kwa jina la Tereza Ntare?!

Habari za kubumba bumba namna hii zisizokuwa na kichwa wala miguu si mngekuwa mnabaki nazo huko Chatto na sana sana Makunduchi?

Huku tuko busy kuhamasisha watu wapate J&J na kudai katiba mpya.

Ya Mfalme mama na sisi wapi na wapi?
😲🤣🤣
Karibu urojo mkuu Brazaj.....

Nawe unajichanganya ..

Uchifu unaendana na MILIKI NA UFALME.....

Kwani MALKIA ELIZABETH wa UK ni kwa kuwa hayati mumewe alikuwa mtawala mfalme ama yeye mwenyewe ndiye mtawala?!!!

Hizo ni lugha tu bwasheee🤣

#SiempreChifuMkuuHangaya
 
Baba wa taifa mwalimu Julius Kambalage Nyerere yeye baada ya kupata uhuru alifuta uchifu hapa Tanganyika na Zanzibar lakini leo mama anarudisa historia ya utawala wa kiasili wa babu zetu.

Chifudom na kingdom ndiyo walikuwa viongozi wa siasa hapa Tanganyika na Afrika kwa tendo hili mimi nampa biG apu mama kwa kuonyesha kuwa anauwelewa mkubwa kwani kama ujui ulikotoka uwezi kujua unakokwenda.

Kuwakubali machifu ni kuenzi mila na tamaduni zetu za kiafrika hivyo mama amefanya jambo kubwa na la kihistoria, Machif walisimamia mambo yote kabla ya kuja wageni kutoka Ulapa na Arabia yakiwemo ya kijamii kama mdoa, vyakula, ibada, maombi, heshima, uzalendo, dawa na mengine mengi.

Na sayantifiki profu kuwa babu zetu walikuwa na Mungu nyuma 1900 kurudi nyuma babu zetu waliishi miaka ya kawaida 150 kuendelea.
Hayo ni mambo ceremonial tu. Marais wote wamepewa uchifu huo ceremonial, lakini Tanzania haitambui uchifu wala cheo kama hicho cha kurithi. Kwa sababu Tanzania kimsingi bado ni Jamhuri inayoamini katika usawa wa watu, na ukikubali uchifu umekubali kwamba kuna koo fulani zimefaa kutawala nyingine.
 
😲🤣🤣
Karibu urojo mkuu Brazaj.....

Nawe unajichanganya ..

Uchifu unaendana na MILIKI NA UFALME.....

Kwani MALKIA ELIZABETH wa UK ni kwa kuwa hayati mumewe alikuwa mtawala mfalme ama yeye mwenyewe ndiye mtawala?!!!

Hizo ni lugha tu bwasheee🤣

#SiempreChifuMkuuHangaya

Kwamba - King Elizabeth siyo?

Hata akiitwa Mh. Mungu kwani kuna taabu?

Hudhani tujikite zaidi kwenye hamasa zikiwamo za J&J?
 
🤣🤣

Ya kwamba "King Philip Duke of Edinburgh" alikuwa ndiye MTAWALA wa UK eee?!! Asante kwa kunipa somo jipya.....

In Shaa Allah nikirudi nitakuja hapo "UFIPA" kukuletea JODARI wa Makunduchi....

#SiempreChifuMkuuHangaya
#ChanjoNiBoraKulikoTiba
 
Hayo ni mambo ceremonial tu. Marais wote wamepewa uchifu huo ceremonial, lakini Tanzania haitambui uchifu wala cheo kama hicho cha kurithi. Kwa sababu Tanzania kimsingi bado ni Jamhuri inayoamini katika usawa wa watu, na ukikubali uchifu umekubali kwamba kuna koo fulani zimefaa kutawala nyingine.

This has been taken to the next level. No other president was installed as Tanzania’s paramount chief. Wengine walikuwa wakipewa uchifu kwenye maeneo waliyotembelea! Nadhani ile function aliyohudhuria ndiyo iliyompa hiyo opportunity.
 
Exquisite 😍
 
Back
Top Bottom