Kwenye tabia yake Sina tatizo nae cos kabla sijawa na uhusiano tulikuwa marafiki so namfahamu vizuri atawakati namtongoza aikuwa rahisi kukubali haraka alinipa jibu la ndio baada ya wiki tatu na before ya hapo aliwakataa wanaume Kama wanne ambao ninawajua ila me ndio nikapata bahati yakukubaliwa.Ni mwanamke Safi Sana anajua kumjari mwanaume alafu sio mjuaji ukiachana tu na tabia yake ya kuvaa hayo mavaziHaiwezekani, nasema haiwezekani tabia na mavazi visiendaneTunavaa kutoka ndani ya nafsi zetu.
It’s an alert ni muda tu utaongea!!
Ushauri wako ni mzuri ila una hata idea yoyote yakunipa maana wewe ni mwanamke mwenzake ili aache haraka hii tabia wasiwasi wangu kutokana umbile la kuvutia alilonalo mpenzi wangu inaweza siku kubakwaMavazi yasikuumize Sana kikubwa tabia na vile mlivyoshibana..muda utafika atayaacha tu,hakuna marefu yasiyo ncha.
Mavazi mabovu hawezi kua na tabia nzuriSalamu kwenu members
Me Nina mpenzi wangu ananipenda na me nampenda sana na tunaishi kwa upendo Sana na ananiheshimu na anatabia nzuri, mkarimu ila tatizo lake linaloniudhi ni mavazi yake hayana maadili na nimekuwa nikimshauri Mara kwa Mara anakuwa anakasirika na anasema anakuwa comfortable akiwa na hayo mavazi kuliko nguo zingine na ananiambia mbona yeye aniingilii me tabia yangu ya kupenda mpira.yaani kunakuaga na timbili kwel kwel hasa nikigusia masuala ya mavazi yake. kwa maeneo mengine yupo vizuri ila kwenye mavazi yake ndio mtihani
Kuna siku moja alinita tukutane off course nikaenda siku hiyo ilikuwa yeye ndo amenitoa out siku hiyo alivaa Kama kawaida yake yaani ukiwa unatuangalia utazani nimechukua kahaba tunaenda kuchukua guest na ukiangalia muonekano wangu ni wa upole,mstaharabu na mtaratibu yaani wanashangaa Sana mpenzi wangu kiukwel hiki kitu kinakera Sana na mtu mwenyewe ukimuonya hata asikii kwa mambo mengine atakuelewa lakini si kwenye mavazi.
Mavazi anayovaa hayafanani kabisa na tabia yake no vitu viwili tofauti
NAOMBENI USHAURI
Nduguzanguni nishaurini nifanyaje ili aache hi tabia yake yakuvaa mavazi yasio na maadili na amini baadhi yenu mtakuwa na ujuzi kuhusu hili.
Achana nae...Salamu kwenu members

Mnunulie mavazi ya heshima na umsisitize kila mtokapo ayavae..mwambie atapendeza zaidi akivaa mavazi ya heshima.Ushauri wako ni mzuri ila una hata idea yoyote yakunipa maana wewe ni mwanamke mwenzake ili aache haraka hii tabia wasiwasi wangu kutokana umbile la kuvutia alilonalo mpenzi wangu inaweza siku kubakwa
Kwenye tabia yake Sina tatizo nae cos kabla sijawa na uhusiano tulikuwa marafiki so namfahamu vizuri atawakati namtongoza aikuwa rahisi kukubali haraka alinipa jibu la ndio baada ya wiki tatu na before ya hapo aliwakataa wanaume Kama wanne ambao ninawajua ila me ndio nikapata bahati yakukubaliwa.Ni mwanamke Safi Sana anajua kumjari mwanaume alafu sio mjuaji ukiachana tu na tabia yake ya kuvaa hayo mavazi
Ushauri wako ni mzuri ila una hata idea yoyote yakunipa maana wewe ni mwanamke mwenzake ili aache haraka hii tabia wasiwasi wangu kutokana umbile la kuvutia alilonalo mpenzi wangu inaweza siku kubakwa