Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 11,368
- 34,132
Sio mbaya, wote tumeumbwa kwa mfano wa MunguKweli wote nawaona wazuri tu sijui kwanini
Sio mbaya, wote tumeumbwa kwa mfano wa MunguKweli wote nawaona wazuri tu sijui kwanini
Sijafanya kauchunguzi bado, mimi nawapenda sana wadada wa Rwanda ningekua mwanaume ningeoa kuleIla wadada wakihaya wa zuri sana
😅😅Acha nicheke tuSijafanya kauchunguzi bado, mimi nawapenda sana wadada wa Rwanda ningekua mwanaume ningeoa kule
Najua unacheka nini ebu tuishie hapo 😂😂😅😅Acha nicheke tu
Yeah kweli wana uzuri 😅Najua unacheka nini ebu tuishie hapo 😂😂
Duhh mbona kama mimi huyu😱
Duhh mbona kama mimi huyu😱
Mjikaze baba! Muwe mnakunywa whiskey kidogo kuondoa clear vision kwa wakati huo🥲Tunawapenda na kuwaheshimu sana lakini kutazama kwa macho nje ya skin tight ni mtihani mama
Dada kapitiliza kujikubali hadi imegeuka kuwa misifa ya kijinga...Simjui anayejadiliwa lakini kama mtu nane umesema ana masifa,itakuwa ni ukweli 100%
Unatakiwa uwe kipotabo ili uwe unanyumbulika on bed.Unene ni jau sana mimi sitaki hata kuusikia.
Hivi Najma ni pisi?? Kabisaa? Hapanaaa.Wanaume watakupiga mawe unavoielezea pisi yenye kovu lake mkononi ila michambo na sifa ni zaidi ya waandishi wa bongo
😂😂😂Nakupenda Sana mwanne binti Othman 😋😋.
😂😂😂 em sema kwelii??Kama wewe tuu. 😊
Ndio.😂😂😂 em sema kwelii??
Uongoo!!Ndio.
Uongoo!!
Jamaniiii!! Wee em apia?Unaringa sana wewe.