min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,054
- 126,636
Duh unene mkubwa sana kwa mwanamke sio mzuriHuyu atakua kwenye 30's shida ni ule mwili ndio unamzeesha
Duh unene mkubwa sana kwa mwanamke sio mzuriHuyu atakua kwenye 30's shida ni ule mwili ndio unamzeesha
Hahaha hivi kwa nini mnazikataa sura za sisi baba zenu?Wala sura sio ya baba yake labda rangi tu imekuchanganya😅
KabisaDuh unene mkubwa sana kwa mwanamke sio mzuri
Dah kuwatambua nilio soma nao olevel hasa wadada ni ngumu sana hasa akishanenepa , kuna mmoja ni headmistress shule moja hivi nilimpa bonge la shkamoo, kuja kupiga nae stories kumbe ni classmate🤔Kabisa
Mambo yanashangaza sana,Kabisa mtu anakuchukia tu hata kukuona hajawahi just imagine
Kibongo bongo mdada akionyesha anapendana na mume wake na hana stress ndogo ndogo tayari ni tatizoMambo yanashangaza sana,
Ukijumlisha na uzazi wengi wanapata miili mikubwa umri unavyozidi kusogea.Dah kuwatambua nilio soma nao olevel hasa wadada ni ngumu sana hasa akishanenepa , kuna mmoja ni headmistress shule moja hivi nilimpa bonge la shkamoo, kuja kupiga nae stories kumbe ni classmate🤔
Wanadamu ndio tulivyo jamani wote tunasemana, tusameheane tu.Kibongo bongo mdada akionyesha anapendana na mume wake na hana stress ndogo ndogo tayari ni tatizo
Wabongo wengi tunazaliwa na DNA za kichawi, kuona mwingine anafuraha zake tu ni tabooo.Kibongo bongo mdada akionyesha anapendana na mume wake na hana stress ndogo ndogo tayari ni tatizo
Dada yangu ambae mim na pacha yangu tunamfuata kazaliwa 1978 katupita miaka mingi tu ila pacha yangu ambae ni kwa kike ameshazeeka kumzidi dada, kisa unene🤔Ukijumlisha na uzazi wengi wanapata miili mikubwa umri unavyozidi kusogea.
Simjui anayejadiliwa lakini kama mtu nane umesema ana masifa,itakuwa ni ukweli 100%Ana masifa huyo...
Unene ni jau sana mimi sitaki hata kuusikia.Dada yangu ambae mim na pacha yangu tunamfuata kazaliwa 1978 katupita miaka mingi tu ila pacha yangu ambae ni kwa kike ameshazeeka kumzidi dada, kisa unene🤔
Kwa hizo reply za wadau huyo dada kuna namna anapendwa sana na mume wakeWabongo wengi tunazaliwa na DNA za kichawi, kuona mwingine anafuraha zake tu ni tabooo.
Me baba angu handsome ww huoni yale macho?Hahaha hivi kwa nini mnazikataa sura za sisi baba zenu?
Ila usiwe kembamba sana , tuwepo tuvinyama hata vya kuzugiaUnene ni jau sana mimi sitaki hata kuusikia.
Upo kila upande kama panya, we tuendelee na umbea bn usijitakase hapa😅Kibongo bongo mdada akionyesha anapendana na mume wake na hana stress ndogo ndogo tayari ni tatizo
Yeah sana, na watoto wa kike mnafanana na baba , nikimwangalia binti yangu ni mimi mtupu , kama mama yake alinibebea mzigo wangu bila yeye kuhusikaMe baba angu handsome ww huoni yale macho?
Na ni kawaida sana hakuna cha mbongo wala mganda😂Wanadamu ndio tulivyo jamani wote tunasemana, tusameheane tu.
Wembamba sana nao hapana, nina mwili wa wastani huu huu unanifaa.Ila usiwe kembamba sana , tuwepo tuvinyama hata vya kuzugia
Hahaha nawewe ndio kiongozi wa kumpondea dada wa watu😅Upo kila upande kama panya, we tuendelee na umbea bn usijitakase hapa😅