MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 8,422
- 22,556
Tufanyeje mlongoo, binadamu wameanzisha mpaka uzi hapa duniani sasaHivi Najma ni pisi?? Kabisaa? Hapanaaa.
😂😂😂
Tufanyeje mlongoo, binadamu wameanzisha mpaka uzi hapa duniani sasaHivi Najma ni pisi?? Kabisaa? Hapanaaa.
😂😂😂
Kwa kweli, 😂😂😂Tufanyeje mlongoo, binadamu wameanzisha mpaka uzi hapa duniani sasa
MV Bukoba inazama Bhoke tayari ni mwanachama wa UWT.Bhoke ni mtoto? Si ni mshangazi kabisa yulee.
Khaaah
Hapo sasa. LolMV Bukoba inazama Bhoke tayari ni mwanachama wa UWT.
Wanachosha na wanapenda kudeka, ungeshaleta uzi wa kuwakana. Since 2013 mpk 2024 nikasema inafu iz inafu.Sijafanya kauchunguzi bado, mimi nawapenda sana wadada wa Rwanda ningekua mwanaume ningeoa kule
Wahaya mda mwingine nawachukulia kama wanachekesha tuSioni kama ana sifa km wadau walivyomsema humu, ila tu anajiamini kupitiliza, anajiamini alivyo mwili wake(mfano ni kuhusu kovu lake la mkononi, halifichagi na anasemaga kabisa ukikereka ni wewe yeye haimuhusu), vilevile anajiamini kwenye husiano lake, yuko proud na mume wake
Watanzania tunaendekeza uoga tukiamini ndo tabia nzuri sasa huyi dada hayupo hivyo na nzuri zaidi hajali mitizamo yenu,
Mliosema ana uhaya nawahakikishia hamuwajui wahaya, sifa za muhaya ni za kijinga na kitoto mno
Kabisa wapo kama comediansWahaya mda mwingine nawachukulia kama wanachekesha tu
Bilashaka wewe ndio mumewe huyo kahaba! Maana sio kwa kupanic huko aisee!HUYO KAOLEWA NA MJANJA WA BUKOBA!
TAFUTA MBURURA MWENZIO MUOWANE,ACHANA NA WAKE ZA WATU!
PENDEKEZO:
TAFUTA MBURURA LAKO MOJA TOKA TABORA,SINGIDA au MANYARA ULIFANYE ZAIDI YA NAJMA PAUL,Nadhani mbinu hii itakusaidia kujipatia pisi kali!
Dar ukiwa tapeli tu we tayari ni mjanja! (Kwa tafsiri yao) Ukiwa mstarabu Fulani ila muelewa wa vitu vingi,wao wanakuona boya,the end watakuja kusema jamaa ulikuwa ukimuona kama boyaa kumbe noma aisee!Hivi ujanja maana yake nini wandugu? Maarifa? Kazi njema? Fweza? Kuongea sana? Kujua mambo sana? Academic performance?
Nisaidieni wandugu kujua nikiambiwa fulani mjanja nijue kipimo gani kimetumika kujudge. just curious...
Kama ni feminist tayari mjumbe amepigwa 3:0 kabla mechi haijaanzaMwenyewe huwa nakubali sana🤣 tuka akiwa EATV, Huwa nawasha tu TV kwenye Dadaz kumuangalia huyu mrembo,, Sasa ndo anazidi kunichoma kahamia Clouds TV.. oooh Najma weeeeH😁
Yes mkuu mimi ndiye mumewe!,Vipi unaonaje nikampiga chini nikuoe wewe!Bilashaka wewe ndio mumewe huyo kahaba! Maana sio kwa kupanic huko aisee!