Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,976
- 7,336
Bhoke Eggina ndio nikimkubali sana yule binti kwenye dadaz mtoto anadeka balaa
Yaan ana misifa sana, sijawahi kumkubali toka akiwa Dadaz hadi sahivi Clouds.
Jamani😂😂Yaan ana misifa sana, sijawahi kumkubali toka akiwa Dadaz hadi sahivi Clouds.
Bhoke ni mtoto? Si ni mshangazi kabisa yulee.Bhoke Eggina ndio nikimkubali sana yule binti kwenye dadaz mtoto anadeka balaa
Wallah vile, 😂😂😂Jamani😂😂
Namjua vzr tu simuelewagi aisee! Kipindi hajaolewa ndio kachumbiwa, kwenye dadaz kila mara mchumba wangu sijui anapenda hivi mara chumba lelelelee kuja kumuona harusini🤦🏽♀️Wallah vile, 😂😂😂
Mfuatilie uone.
Na walizushaga amekufa sjui viliishia wapi namuona anafuturu zake serena😅Bhoke ni mtoto? Si ni mshangazi kabisa yulee.
Khaaah
Umeona eeh, baada ya ndoa sasa, mda wote kujigamba na kuringisha Pete, hadi kuna siku Mwanne alimchana wazi aache ulimbukeni, kuna wenzake wako ndoani anniversary na jubilee zao, 😂😂😂Namjua vzr tu simuelewagi aisee! Kipindi hajaolewa ndio kachumbiwa, kwenye dadaz kila mara mchumba wangu sijui anapenda hivi mara chumba lelelelee kuja kumuona harusini🤦🏽♀️
Hana habari kwanza, yuko lele lele 😂😂😂Na walizushaga amekufa sjui viliishia wapi namuona anafuturu zake serena😅
Na lile para lake😂Umeona eeh, baada ya ndoa sasa, mda wote kujigamba na kuringisha Pete, hadi kuna siku Mwanne alimchana wazi aache ulimbukeni, kuna wenzake wako ndoani anniversary na jubilee zao, 😂😂😂
Mume wake mwenyewe wa kawaida tyuuh, wamepatana wa kufanana. Lol
ana tako pia mix hip Yuko Bomba sana najKweli ana miguu mizuri na rangi nzuri sana ila umri umesonga sana🤔
Tuna ugonjwa tofauti mkuu😅ana tako pia mix hip Yuko Bomba sana naj
Aaah me nikiona mwenye hips alooh na msambwanda kiasi tuu 😂, nafwaaaTuna ugonjwa tofauti mkuu😅
Hapo sasa mxxxiiieeeeew!! 😂😂😂Na lile para lake😂
Mlongoo 🙌🙌Wallah vile, 😂😂😂
Mfuatilie uone.
AbeeeeMlongoo 🙌🙌
Wanaume watakupiga mawe unavoielezea pisi yenye kovu lake mkononi ila michambo na sifa ni zaidi ya waandishi wa bongoAbeeee