Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,254
- 54,654
Issabella... najua unampenda... lakin haina jinsi. Hata kama yuko moyoni.. muache tu. Usikubali wewe kuwa chanzo cha kuvuruga ndoa ya mtu. Alaf imagine mke wa jamaa akijua.. atajisikiaje
Unaomba ushauri ukiwa tayari una maamuzi yako tayari kwamba bado unampenda, endelea kumpenda atamuacha mkeweHabari zenu, naitwa issabella natokea Tanga nina umri wa miaka 21, Nina boyfriend ambae nipo nae takribani miaka miwili sasa, katika mahusiano yetu ajawahi kuniambia ana mke wala watoto na ajawahi kunionyesha dalili yeyote ile kam ana mke.....lakin siku kadhaa niliambiwa na rafiki yake kuwa mtu ambae nipo nae n mume wa mtu, na nikweli nilithibitisha niakona kweli ana mke, nimemuuliza amekubali na ameniambia ajaniambia kwasbabu aliogopa nitamuach lakini bado ananipend na atanioa......ushari kwenu nifanyaje? nimuache au niendelee nae? Kiukweli mimi pia bado nampnda sana lakini sipoo tayari niolewe na mtu ambae ni mume wa mtu. Naombeni ushauri wenu plz
unasema mapenzi ya kweli hayana siri? Mapenzi bila siri ndoa itakufakama alikuficha mwanzo kuwa ana mke we unadhan anamapenz ya kwel? mapenz ya kwel hayana siri n kama kwel anakupenda hakuwa n sbbu ya kukuficha jambo kubwa km hlo ....sikushaur uolewe nae ata kidogo.
vunja tuu hiyo ndoa na wewe waje wavunje yakoHabari zenu, naitwa issabella natokea Tanga nina umri wa miaka 21, Nina boyfriend ambae nipo nae takribani miaka miwili sasa, katika mahusiano yetu ajawahi kuniambia ana mke wala watoto na ajawahi kunionyesha dalili yeyote ile kam ana mke.
Lakin siku kadhaa niliambiwa na rafiki yake kuwa mtu ambae nipo nae n mume wa mtu, na nikweli nilithibitisha niakona kweli ana mke, nimemuuliza amekubali na ameniambia ajaniambia kwasbabu aliogopa nitamuach lakini bado ananipend na atanioa......ushari kwenu nifanyaje?
Nimuache au niendelee nae? Kiukweli mimi pia bado nampnda sana lakini sipoo tayari niolewe na mtu ambae ni mume wa mtu. Naombeni ushauri wenu plz
rip masaburihv siku hizi mabinti mnawaza kwa kutumia nini?
Kiongozi, ukisika maneno "njia panda" ndio hapo. Usimlaumu sana...Yaani we ndio fala wa mwisho,eti unataka USHAURI,wakati huo huo unatuambia HUTAKI kuolewa na mtu mwenye mke na wakati huo huo unatuamba UNAMPENDA SANA sasa ni ushauri gani unaoutaka?????
Atakua na wake na wapenzi wengi huyo.Habari zenu, naitwa Issabella natokea Tanga nina umri wa miaka 21, Nina boyfriend ambae nipo naye takribani miaka miwili sasa, katika mahusiano yetu hajawahi kuniambia ana mke wala watoto na hajawahi kunionyesha dalili yeyote ile kama ana mke.
Lakini siku kadhaa niliambiwa na rafiki yake kuwa mtu ambaye nipo naye ni mume wa mtu, na nikweli nilithibitisha nikaona kweli ana mke, nimemuuliza amekubali na ameniambia hajaniambia kwasababu aliogopa nitamuacha lakini bado ananipenda na atanioa......ushauri kwenu nifanyaje?
Nimuache au niendelee naye? Kiukweli mimi pia bado nampenda sana lakini sipo tayari niolewe na mtu ambaye ni mume wa mtu. Naombeni ushauri wenu plz
kufa s rahisi kama mtahaminianaunasema mapenzi ya kweli hayana siri? Mapenzi bila siri ndoa itakufa