Nampenda sana lakini ana mke

Nampenda sana lakini ana mke

Kama mtarajiwa wako ni mkristo, jaribu kuwaulizia wake wa mheshimiwa aliyefariki majuzi.Nawe fikiria Hali ya namna hiyo ikikupata watoto wako watakuwa wanajisikiaje kwa mama Yao kubaguliwa.
 
Muislm
 
Akishakuoa,atatafuta tena mwingine naye amdanganye km wewe.so tambua baada ya ndoa kuna wengine wanakuja nyuma yako
 
Ulipotongozwa hujaomba ushauri, ulifanya maamuzi na serikali ya kichwa chako, fanya tena maamuzi.
 
Acha kauli chafu bwege ww....kwan unapotongoza demu huwa unaomb ushaur kw wezio n ukiomb ushauri utaomb kwa wangapi unaowatongoza.....sikia kam ujickii toa ushaur be silent swa hautaulizwa kwann ujatoa ushaur, umenitibua na tena sipo saw ningekuwa karib yako ningekumwqgia hata maji ya mot.shenzi
 
Habari zenu, naitwa Issabella natokea Tanga nina umri wa miaka 21, Nina boyfriend ambae nipo naye takribani miaka miwili sasa, katika mahusiano yetu hajawahi kuniambia ana mke wala watoto na hajawahi kunionyesha dalili yeyote ile kama ana mke.

Lakini siku kadhaa niliambiwa na rafiki yake kuwa mtu ambaye nipo naye ni mume wa mtu, na nikweli nilithibitisha nikaona kweli ana mke, nimemuuliza amekubali na ameniambia hajaniambia kwasababu aliogopa nitamuacha lakini bado ananipenda na atanioa......ushauri kwenu nifanyaje?

Nimuache au niendelee naye? Kiukweli mimi pia bado nampenda sana lakini sipo tayari niolewe na mtu ambaye ni mume wa mtu. Naombeni ushauri wenu plz
Issabella wewe ni Dini Gani? kwa Age yako sidhani kama umekomaa kuhimili kua mke wa pili,je umeangalia Adhari zake? huyo mume mpaka hapo nimuongo,kama ana kupenda kweli mwambie Akulipie ADA ya shule ukasome lakini sio kuolewa,kuolewa sio lelemama,tumia nafasi hii kwakusoma sio kuolewa wanaume hawaishi wapo na watazidi kuwepo
huyo jamaa anataka kukufuja subiri akuweke ndani ndio utaujua mpilipili na maua yake,asikudanganye na ukikubali kuolewa na yeye utakuja kumbuka shuka kushakucha, kama Mtanga kweli utakua umenielewa
 
Habari zenu, naitwa Issabella natokea Tanga nina umri wa miaka 21, Nina boyfriend ambae nipo naye takribani miaka miwili sasa, katika mahusiano yetu hajawahi kuniambia ana mke wala watoto na hajawahi kunionyesha dalili yeyote ile kama ana mke.

Lakini siku kadhaa niliambiwa na rafiki yake kuwa mtu ambaye nipo naye ni mume wa mtu, na nikweli nilithibitisha nikaona kweli ana mke, nimemuuliza amekubali na ameniambia hajaniambia kwasababu aliogopa nitamuacha lakini bado ananipenda na atanioa......ushauri kwenu nifanyaje?

Nimuache au niendelee naye? Kiukweli mimi pia bado nampenda sana lakini sipo tayari niolewe na mtu ambaye ni mume wa mtu. Naombeni ushauri wenu plz
kwakweli wanawake wa siku hizi hawaeleweki kabisa yani,yani unakuta mtu anajua wazi kwamba una mke na watoto lakini bado anakomaa eti anakupenda,mara oooh nataka unioe sasa,sasa mimi nitakuoaje wakati mke tayari ninaye?
 
Back
Top Bottom