Nampenda sana lakini ana mke

Nampenda sana lakini ana mke

sa ushajua mume wa mtu hyo ndoa itatoka wap? una miaka 21 embu endlea kukua akil kwanza
 
kama alikuficha mwanzo kuwa ana mke we unadhan anamapenz ya kwel? mapenz ya kwel hayana siri n kama kwel anakupenda hakuwa n sbbu ya kukuficha jambo kubwa km hlo ....sikushaur uolewe nae ata kidogo.
The Best opinion...
 
Aaaaaaah!!! Dini kama inaruhusu kubali tuu. Kwann umwache? Hyo siyo sabab ya kumwacha ila kwa kua hakukuambia mapema kama anamke. Take care.
 
Nipe ushaur
Kwa umri huo sijajua unashughulika na shughuli gani lakini kwa mfumo wetu ulitakiwa uwe unafanya shughuli fulani. Kazana katika unachofanya. Nitaassume hauna mtoto kwakua haujasema kwahiyo bado hauna distraction ya kukuzuia kufikia ndoto zako, kizuizi pekee cha ndoto zako naona ni huyohuyo jamaa.

Ni ngumu kumsahau mtu, ila ukifocus katika mambo yako haya hupita haraka sana, pia haujafikia umri wa kusema yote yamekwisha bado una chances nyingi juu ya maisha yako.

Ni wewe tu kuamua kuzifuata na kusonga mbele, unahisi unahitaji msaada online?
 
Habari zenu, naitwa issabella natokea Tanga nina umri wa miaka 21, Nina boyfriend ambae nipo nae takribani miaka miwili sasa, katika mahusiano yetu ajawahi kuniambia ana mke wala watoto na ajawahi kunionyesha dalili yeyote ile kam ana mke.....lakin siku kadhaa niliambiwa na rafiki yake kuwa mtu ambae nipo nae n mume wa mtu, na nikweli nilithibitisha niakona kweli ana mke, nimemuuliza amekubali na ameniambia ajaniambia kwasbabu aliogopa nitamuach lakini bado ananipend na atanioa......ushari kwenu nifanyaje? nimuache au niendelee nae? Kiukweli mimi pia bado nampnda sana lakini sipoo tayari niolewe na mtu ambae ni mume wa mtu. Naombeni ushauri wenu plz
Dada angu si kila mwanamke ameumbiwa mwanaume wake, nyinyi kwanza mko wengi kuliko sisi wanaume sasa ukikaa usubiri wako peke yako hutumpata bora kubanabana umo umo, maana mkisima kila mtu angoje wake , wengi mtakosa waume
 
Habari zenu, naitwa issabella natokea Tanga nina umri wa miaka 21, Nina boyfriend ambae nipo nae takribani miaka miwili sasa, katika mahusiano yetu ajawahi kuniambia ana mke wala watoto na ajawahi kunionyesha dalili yeyote ile kam ana mke.....lakin siku kadhaa niliambiwa na rafiki yake kuwa mtu ambae nipo nae n mume wa mtu, na nikweli nilithibitisha niakona kweli ana mke, nimemuuliza amekubali na ameniambia ajaniambia kwasbabu aliogopa nitamuach lakini bado ananipend na atanioa......ushari kwenu nifanyaje? nimuache au niendelee nae? Kiukweli mimi pia bado nampnda sana lakini sipoo tayari niolewe na mtu ambae ni mume wa mtu. Naombeni ushauri wenu plz
Umeyawahi sana mapenzi, acha yakutese! ila muachie mwenzio mume wake tafuta wako "Mume ana uma binti Ooh Ooh" Tutaonana wabaya I see
 
Obvious mke wake ni mtamu kuliko wewe, vinginevyo angekutambulisha kwa mke wake.
 
Habari zenu, naitwa issabella natokea Tanga nina umri wa miaka 21, Nina boyfriend ambae nipo nae takribani miaka miwili sasa, katika mahusiano yetu ajawahi kuniambia ana mke wala watoto na ajawahi kunionyesha dalili yeyote ile kam ana mke.....lakin siku kadhaa niliambiwa na rafiki yake kuwa mtu ambae nipo nae n mume wa mtu, na nikweli nilithibitisha niakona kweli ana mke, nimemuuliza amekubali na ameniambia ajaniambia kwasbabu aliogopa nitamuach lakini bado ananipend na atanioa......ushari kwenu nifanyaje? nimuache au niendelee nae? Kiukweli mimi pia bado nampnda sana lakini sipoo tayari niolewe na mtu ambae ni mume wa mtu. Naombeni ushauri wenu plz
KAMA jamaa ni muislam basi atakuoa Kwan dini yake inaruhusu
 
Kama yeye yupo tayari kukuoa basi usikatae mkubalie tu ilimradi bado unampenda.kuolewa mke mwenza sio ukilema sababu utakayokuwa unafanya nae yote ni sawa tu na mke wa pili japo ndoa tu hujafunga
 
Back
Top Bottom