Nampenda sana ila ana ngoma

Nampenda sana ila ana ngoma

Nothing is good or bad but your thinking make it so.

Nimependa mistari yako hii mkuu@Ngwananzengo.

Mwanazuoni mmoja kwa jina Seun Obassanjo(mtoto wa the late prezdaa Ob), akihojiwa na press huko Callifonia alisema..."dhambi ni vile ufikiriavyo kwamba ni vibaya kumfanyia mwingine, kama kufikiri kwako kutakutambulisha kuwa unafanya vema, then hakuna dhambi". Ukijihisi kujuta, tayari wewe una majuto. Na majuto ni dhambi, kwa maana umeuweka moyo wako rehani, na ukinung'unika, sumu hukaa moyoni, moyo ukiwa ma sumu ya majuto yako, hudhoofisha ustawi wako kiakili na kimwili...ndo matokeo ya makunyanzi na kuzeeka ungali kijana....na mwisho ni kifo. NI KUTOKANA NA MAJUTO MOYONI MWAKO. Jifunze kufurahia maisha, jifunze kuondoa kinyongo moyoni. MAISHA NI MAZURI SANA...TENA NI MATAMU...hivo hivo ulivo.
 
Ngoma kitu kaka! Ngoma yenyewe siku hizi ni photocopy tupu original ilishapotea! Ukiipata itakuwa photocopy ya photocopy! Its nothing, chukua kifaa jembe. Jembeee!!!
Hapo ukiambiwa KAPIME utakavyogombana na MTU hakuna mfano then hapa unaeleza tofauti
 
piganga kijana usiogope kunywa dozi tupo wengi nyuma yako tunakatika tu
 
Good idea! If "she is what you left with" in your life...then living has nothing to do with dying. Enjoy your life, wait for your death. Every human being is supposed not to wory about death...coz once you have life, second you have death. Get reach or die trying: by 50cet.

FOR YOU, from the botom of your heart is true that the precious item in your life is SHE. And she is there. Get her, DEATH HAS NOTHING TO DO WITH YOUR LIFE. Enjoy it while living.

well said.. we are all going to die eventually,, n ngoma isnt the only cause of our death. so i think he can enjoy his life with her.
 
the fact unampenda thats more important... about death, she or you may die of a car accident or anyother natural death..so, if she means the world to you.. have her with protection.
 
sup wadau miss yah kinoma
kuna huyu dada nampenda sana kupita mnavyofikiri anasifa zote nazohitaji ila kuna kasoro moja anangoma ,na kwa jinsi navyompenda nimeamua tu niwe nae
je will this change my life destiny or status?
yeah unaweza kumoa hata mkapata watoto wasio na virusi kabisa just zingatia maelekezo ya wataalam
 
sup wadau miss yah kinoma
kuna huyu dada nampenda sana kupita mnavyofikiri anasifa zote nazohitaji ila kuna kasoro moja anangoma ,na kwa jinsi navyompenda nimeamua tu niwe nae
je will this change my life destiny or status?
hongera kwa kuamua kuwa nae.. if this is true, you are truly a
Code:
reality of real love.
 
Kwa kweli si amini kama ukimwi hauna dawa ila naamini ni biological weapon ya kutumaliza nchi za ulimwengu wa tatu, mtaan kwetu kila anayekatiza unaambiwa kaungua si watoto, watu wazima had wazee hivi na uko nchi za mbele ukimwi unawasumbua kweli? Dawa ipo ila washenzi watakuwa wanapeana wao kwa wao
 
sup wadau miss yah kinoma
kuna huyu dada nampenda sana kupita mnavyofikiri anasifa zote nazohitaji ila kuna kasoro moja anangoma ,na kwa jinsi navyompenda nimeamua tu niwe nae
je will this change my life destiny or status?

Nijuavyo ndani ya mapenzi mabichi mabichi uwezo wa kufikiri mambo mengine huathiriwa sana ..sikwambii unyanyapae ila uko tayari kweli kuishi maisha hayo bila lawama baada
ya tamaa za mwili kuisha?
 
sup wadau miss yah kinoma
kuna huyu dada nampenda sana kupita mnavyofikiri anasifa zote nazohitaji ila kuna kasoro moja anangoma ,na kwa jinsi navyompenda nimeamua tu niwe nae
je will this change my life destiny or status?

!
!
wewe uko wapi?demu yuko wapi?
 
sup wadau miss yah kinoma
kuna huyu dada nampenda sana kupita mnavyofikiri anasifa zote nazohitaji ila kuna kasoro moja anangoma ,na kwa jinsi navyompenda nimeamua tu niwe nae
je will this change my life destiny or status?

Uko ktk hatari kubwa japo kupenda ndo kunakupumbaza.ni kweli hupaswi kumtenga muathirika na unapaswa kua nae karibu,najua tuna mitazamo tofauti na hapa utapata ushauli wa kila namna.condom inakinga ni kweli...kwa ushauli wa bure tumia kinga au kama hutaweza basi mtu mfanye rafiki wa karibu bila kusex..jambo lilishanitokea hapa jijini Mwanza,mtu yule nilimfanya rafiki tu na akaridhika kabisa kwa ukaribu wangu kwake na baada ya miaka 6 alianza kuugua na kufariki dunia mwaka 2009,nikaanza kujiuliza uzuri alokua nao na ucheshi,nikaona picha ya wazi hata mimi ningefata.ni kweli hatuwezi kuogopa kufa coz kufa kupo but tunaogopa yale mateso iwapo yatatokea kwa kuugua kila mala na mateso ya maumivu,nilishauguza pia dada yetu nyumbani.jombaa usiombe hiyo kitu.ASIKIAYE NA AFAHAMU
 
Vp na yeye anakupend

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom