Nampenda sana ila ana ngoma

Nampenda sana ila ana ngoma

usiogope life aint twice

Pamoja na maswali, majibu na mawazo tim tim ya wachangiaji, uwezo wako wa kumudu kuwapa mrejesho wote walioshiriki, kwa utulivu na kwa uhakika....NIMEPENDA NAMNA HII ULIVOTIRIRIKA. Hata walichangia kwa kukukera/ kukukatisha tamaa, umekwenda nao sambamba. Nia yako ni kupata hoja inayokuunga ama kukupinga...lakni iwe na nguvu kushinda hoja yako. Aliyekuja na vurugu, umesema naye kistaarabu tu...na akakimbia mwenyewe, maana hukutaka kushindana nae kwa vurugu. NIMEPENDA XANA USHIRIKI WAKO HAPA...MTOA MADA. Umesimamia unachokiamini...na hiyo ndiyo kweli. ILA YAFAA UWE NA HAKIKA YA SAFARI UENDAYO, UZIJUE CHUNGU NA TAMU ZAKE, UWE JASIRI KAMA ULIVO SASA NA UVUMILIE. Uwe mwaminifu daima ktk hicho ukiaminicho. KILA LA KHERI MAN!
 
''Je will this change my life destiny or status.''

How can we or I in particular know if your status/destiny will change if I don't know what is your status or destiny right now?!
 
ahahaha...swali la kizushi...ngoma aliyonayo yeye ipi?....tumba au ngoma ipi?

achana na hayo....ukimwi wa siku hizi sio kama uleeeeee wa kipindi kile soo mwana kama umempenda mtie ndoani kwani maisha yenyewe yako wapi bwana.....

watu wana ukimwi wanaishi maisha kibao ila wasio naoa wanakufa kwa ajali na malaria...kufa utakufa tuu hata kama hujamwoa mwenye ukimwi...so live large man...it is what it is meeeennnn.

ahahaha...2015 i do care.
 
ulizaliwa peke yako na kuna uwezekano utakuwa peke yako,,,,moyo wako ushaamua,, ufuate.
 
Habari zenu wadau miss you sana.

Kuna huyu dada nampenda sana kupita mnavyofikiri anasifa zote nazohitaji ila kuna kasoro moja anangoma na kwa jinsi navyompenda nimeamua tu niwe nae.

Je will this change my life destiny or status.
kuna siku mtakuja humu kuuliza kuwa k iko wapi katika mwili wa mwanamke
 
Habari zenu wadau miss you sana.

Kuna huyu dada nampenda sana kupita mnavyofikiri anasifa zote nazohitaji ila kuna kasoro moja anangoma na kwa jinsi navyompenda nimeamua tu niwe nae.

Je will this change my life destiny or status.
Ukipenda ua penda na boga lake..
 
Back
Top Bottom