REALITY
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 4,391
- 1,963
- Thread starter
- #61
Uko ktk hatari kubwa japo kupenda ndo kunakupumbaza.ni kweli hupaswi kumtenga muathirika na unapaswa kua nae karibu,najua tuna mitazamo tofauti na hapa utapata ushauli wa kila namna.condom inakinga ni kweli...kwa ushauli wa bure tumia kinga au kama hutaweza basi mtu mfanye rafiki wa karibu bila kusex..jambo lilishanitokea hapa jijini Mwanza,mtu yule nilimfanya rafiki tu na akaridhika kabisa kwa ukaribu wangu kwake na baada ya miaka 6 alianza kuugua na kufariki dunia mwaka 2009,nikaanza kujiuliza uzuri alokua nao na ucheshi,nikaona picha ya wazi hata mimi ningefata.ni kweli hatuwezi kuogopa kufa coz kufa kupo but tunaogopa yale mateso iwapo yatatokea kwa kuugua kila mala na mateso ya maumivu,nilishauguza pia dada yetu nyumbani.jombaa usiombe hiyo kitu.ASIKIAYE NA AFAHAMU
thanks man